Upinzani Venezuela wakamata kituo cha mafuta

Mkuu mbona unaongea rahisi namna hiyo pale ujue kuna akiba ya wese la kutosha usa analitaka Russia na China nao wanataka sasa isije kuwa ya Syria na ujue pale pamekaa vibaya kwa upande wa usa
kweli, venezuela anamuangalia marekani kwa bondeni. USA yuko chini, venezuela yuko juu. Putin amesaiweka kama strategic point yake dhidi ya amerika
 
Huyo alojitangaza rais wa mpito hadi leo hii anajificha mafichoni akitoa matamko, hajitokezi hadharani. Anajua Maduro atamkata kichwa hiko
CARACAS, Venezuela — The embattled government of Venezuela struck back against its opponents on Thursday, winning strong support from the country’s armed forces and the solid backing of Russia, which warned the United States not to intervene.
The events put Venezuela’s president, Nicolás Maduro, at the center of a Cold War-style showdown between Russia, an ally that has shored up his government with billions of dollars, and the United States, which has denounced him as a corrupt autocrat with no legitimacy.

Unaona Putin kashamhakikishia jamaa ulinzi. Hapo marekani lazima awe mpole tu
 
Marekani akijileta atajuta
 
Marekani akijileta atajuta
undefinedvenezuela deploy S-300VMundefined
Dz1FcOUW0AI-2gW.jpg:small
 
Hiyo wanayoita misaada ni silaha tupu na wameshaleta macomandoo wako wamejipenyeza kwasababu ni wageni wanasoma alama na kujua vzr ramani ya nchi ile kwa uhakika.
Warusi wanasema watasaidia lakini siwaamini kabisa warusi wamekua watu wasio na maamuzi walimuacha Gadaf akauwawa wakitoa matamko hewa hawakuwahi kurusha japo risasi moja.

MADURO Anajua hawa wanataka mafuta tu watamuua siku si nyingi
 
@Richardirakunda,Image Satelite International(ISI).
Twitter,@imagesat

2015 kama sikosei
 
We umechanganyikiwa!hukuona msaada wa ussr kwa Syria?marekani na nato wakashindwa kabisa kumpindua rais asaad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
keshokutwa ndo tutaanza kuona mwelekeo wa hili zengwe,maana marekani na wapambe wanataka kuingiza misaada kwa nguvu na venezuela wamejipanga kuzuia,kumbuka msalaba mwekundu walikataa kujihusisha na misaada hiyo kwa madai sheria yao inazuia misaada kutumika kisiasa,hapo marekani anataka venezuela waizuie ili apate sababu ya kuingia kijeshi
 
@Richardirakunda,Image Satelite International(ISI).
Twitter,@imagesat

2015 kama sikosei
Basi inaonekana huu mgogoro ulipagwa siku nyingi saana na kama wajamaa wamejaziatiti kitambo na mabepari wameamua liwalo na liwe

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Back
Top Bottom