Keep on dreams!
Mkuu hilo suala la kura za vijijini sio kwa sasa. Vijijini wamebadilika sana na ushahidi ni uchaguzi wa SM decemba 2014 ,matokeo yake.msema kweli ni mpenzi wa mungu. ukweli humuweka mtu huru. kiukweli uchaguzi wa mwaka huu upande wa majimbo na kata ccm watapoteza sana. ingawa upande wa urais kuna uwezekano mkubwa wakashinda. hivo ni ndoto kusema kwamba cdm
itakufa baada ya uchaguzi. jambo litakaloibeba ccm ni wapiga kura wa vijijini huo ni mtaji mkubwa kwa ccm japokuwa kwa upande wa wabunge itapoteza sana.
Sijui hata umeandika nini hapo mi naona umeandika 'Uharo' tu
Kama unapenda ukweli hii ni habari njema lakini kama unapenda propaganda hapa hutoelewa. chadema imeenda Ukawa baada ya kuona chama kimepoteza mvuto hivo ili kujificha ikaamua kujificha kwa vyama ambazo awali vilijulikana kama ccm B, vingine vikiitwa Pandikizi la ccm.
Hio haimaniishi kuwa mapungufu yameisha chama sasa kinapumulia ICU. Imagine wabunge hawa majimbo yao huenda yasirudi tena Chadema, Arfi, mh Zito, mh Shibuda, mh Lema.
Bila shaka octoba 2015 CHADEMA hata nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani itakosa.
kama unapenda ukweli hii ni habari njema lakini kama unapenda propaganda hapa hutoelewa. Chadema imeenda ukawa baada ya kuona chama kimepoteza mvuto hivo ili kujificha ikaamua kujificha kwa vyama ambazo awali vilijulikana kama ccm b, vingine vikiitwa pandikizi la ccm.
Hio haimaniishi kuwa mapungufu yameisha chama sasa kinapumulia icu. Imagine wabunge hawa majimbo yao huenda yasirudi tena chadema, arfi, mh zito, mh shibuda, mh lema.
Bila shaka octoba 2015 chadema hata nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani itakosa.