Pamputi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 982
- 724
Habari wanajamvi nianze Kwa kupongeza vyama vya upinzani nchini Kwa uwepo wao kwani licha tu ya kuwa na tija kisiasa pia vina tija kiuchumi pia kwan uwepo wao nchini n kiashiria cha demokrasia na demokrasia ndo msisitizo wa mataifa rafiki hususan ya magharibi hvyo uwepo wa upinzani una tija pia kiuchumi
Sasa niingie kwenye mada husika juu ya mtazamo wa vyama vyetu vya upinzani kwamba siku moja vinaeza ongoza nchi hii kitu ambacho nakifananisha na ndoto za mchana a kama si za alinacha na abunuazi na vitu kinanisukuma kutoa mtazamo huu n kama vifuatavyo
*Kuendekeza siasa zilizopitwa na wakati
*kufeli katika kuzisoma nyakati
*kukosa vision
*kutokua na misimamo Kwa kile wanachokisimamia
*kukosa vipaumbele
*kukosa network iliyotapakaa kila sehemu
*kuzidi kupoteza nguvu ya ushawishi
*kuendekeza migogoro ya ndani ya vyama
*uwezo mdogo wa kifedha
*Kukosa viongozi wafanisi (effecient )
Na mengine mengi na Kwa kadiri muda utavyokua ukiruhusu nitakua nikifafanua hoja moja baada ya nyingne.