Tatizo lenu kitu mnachokifahamu ni kubeza tu, tofauti na hapo hamna kitu mnachokifahamu. Wewe ni mgeni Tanzania hadi ushindwe kufahamu utendaji wa Magufuli.?? Magufuli umeanza kumuona leo.?? Ni ipi nafasi ya upinzani katika sera za CCM.?? Unatakiwa ujifunze kuukubali ukweli, hata kwa shingo upande.!!
Hivi upinzani unaousemea ni ule wakina Lowasa, Mbowe, Mbatia, Sumaye, Mwapachu na yule mzee wa miaka mingi. Hawa sio mbadala, ni kikundi cha watu wachache kwa kudhani ushawishi walionao kutoka sehemu wanazotoka wangeweza kushinda uchaguzi mkuu. Ni mawazo gani ambayo CCM imeshachukua kutoka kwa hao wazee wa furusi.??
Umoja wa vyama vyao una falsafa gani.??
Hivi Mwaipungu ni lugha gani unaamini unaweza kuitumia na ujumbe ukafika kama ulivyokusidia. Maana mimi naona kama ni vurugu. Kiswahili hujui vizuri, kiingereza umeshindwa kuandika chote. Unabaki kuunga unga tu.
Ni dalili zipi zimekufanya uone kama upande wa pili kumekomaa zaidi kuliko hapo awali.
Mimi ni mtanzania wa kuzaliwa, unataka kujua naishi wapi ili iweje. Nikirudi shule naenda kuchukua PhD ya uhandisi. Sasa ni hoja zipi zenye mashiko zaidi ya kuelezea ukweli.??
Maneno mengi mno.!! Nimekuuliza swali, umoja wa vyama vyao una falsafa gani.?? Unaanza mara diaspora mara sijui nini.!! Jibu maswali unayoulizwa bwana mkubwa, usilete mbwembwe hapa.!!
Bwana mkubwa hebu twende sawa, hiki kiingereza chako cha facebook hakina nafasi hapa. Jaribu kutumia lugha moja kwa ufasaha, ndio nijifikirie kuwasiliana na wewe. Maana u zinakuwa nyingi..
Hivi vizungu vingine...!
Tatizo lenu kitu mnachokifahamu ni kubeza tu, tofauti na hapo hamna kitu mnachokifahamu. Wewe ni mgeni Tanzania hadi ushindwe kufahamu utendaji wa Magufuli.?? Magufuli umeanza kumuona leo.?? Ni ipi nafasi ya upinzani katika sera za CCM.?? Unatakiwa ujifunze kuukubali ukweli, hata kwa shingo upande.!!
Hivi upinzani unaousemea ni ule wakina Lowasa, Mbowe, Mbatia, Sumaye, Mwapachu na yule mzee wa miaka mingi. Hawa sio mbadala, ni kikundi cha watu wachache kwa kudhani ushawishi walionao kutoka sehemu wanazotoka wangeweza kushinda uchaguzi mkuu. Ni mawazo gani ambayo CCM imeshachukua kutoka kwa hao wazee wa furusi.??
Umoja wa vyama vyao una falsafa gani.??
Hivi Mwaipungu ni lugha gani unaamini unaweza kuitumia na ujumbe ukafika kama ulivyokusidia. Maana mimi naona kama ni vurugu. Kiswahili hujui vizuri, kiingereza umeshindwa kuandika chote. Unabaki kuunga unga tu.
Ni dalili zipi zimekufanya uone kama upande wa pili kumekomaa zaidi kuliko hapo awali.
1) Your English is very poor.That's not reality, if it was real then you are bond to accept corrections. You may have gone to school but still you might have not learnt anything. So my advice to you, be keen on what you speak, mind you watch your tongue carefully cause it may end you too soon.
Anyway if you were so brilliant, then I would conquer with you but the mere fact that am giving a powerful speech to an empty crowd, I bet am just wasting my time.
But also please comrade try to be analytical, observative, critical and creative to draw your tongue to intellects. Anyway you preach so good to fools rather than intellects. And more so, language is not the problem, the problem is what you learnt. Language has different branches like literature, linguistic and so many to mention a few. So as writing, a writer is to be creative to convey his or her message to the public without vagueness or ambiguity.
What don't you understand Comrade about language? I guess the little knowledge I have sparkled into that brain is to ensure you think critical. Am not perfect but in this am 100% sure am right.
So let's stop the drama and educate each other not wrestle each other. We are better together than individually and powerful together than a single we. Just know am not the enemy here, am a comrade, so as you, so lets stop childish things and argue civilized, with sound arguments.
Mpaka hapo ni wazi kwamba unajitutumua. Ni afadhali tu uandike kwa lugha yetu pendwa ya Kiswahili.That's not reality, if it was real then you are bond to accept corrections. You may have gone to school but still you might have not learnt anything. So my advice to you, be keen on what you speak, mind you watch your tongue carefully cause it may end you too soon.
Anyway if you were so brilliant, then I would conquer with you but the mere fact that am giving a powerful speech to an empty crowd, I bet am just wasting my time...
1) Your English is very poor.
2) The way you arbitrarily and randomly introduce ideas, and what you think are new concepts, shows that you have yet to complete your A-level literature!
NB: NI RAHISI MNO KUPIMA ELIMU YA MTU ANAYETAMBA NA KIINGEREZA UCHWARA! HEBU ENDELEA KUWATAMBIA KWENYE CHOBIS ZA GONGO UNAPOENDAGA UMEBEBELEA LIKAMUSI KUBWA LA SWAHILI-ENGLISH!
Mpaka hapo ni wazi kwamba unajitutumua. Ni afadhali tu uandike kwa lugha yetu pendwa ya Kiswahili.
Acha ujinga wewe. Hakuna haja ya kuzungumza na mswahili mwenzako kwa kutumia Kiingereza kibovu. Unafikiri huyo mzungu wako atazungumza Kiswahili kibovu na mzungu mwenzake ili aonekane ni mjuaji siyo? Haya ni mawazo ya kipuuzi. Jivunie lugha yako na sio kuleta vijiutetezi vya kilofa unapoboronga lugha za wengine.Waswahili kwa mabobish, nani aliwaambia hii ni lugha yetu. Akija mzungu akichapia kiswahili mtamwambia anajuaaaa vizuuuriiiii.
Acheni hizo
Asante kwa elimu kiongozi mana kuna vitu umeandika vyenye kumfungua mtu ambaye anajielewa.Hivi wewe uko nchi gani? Magufuli amekua mzalendo yeye binafsi. Mambo mengi anayoyafanya ni kwa maono yake, siyo sera za CCM. Umeona tangu aanze majukumu yake CCM ikimpongeza? Unakumbuka M4C ni falsafa ya nani? Wewe pekee hujui kuwa mambo mengi ya msingi anayoyafanya Mh JPM ni yale yaliyolalamikiwa miaka kadhaa na opposition, ila CCM MASLAHI waliyapuuza. Wewe unajifanya kipofu lakini ukweli unaujua. Ni lini CCM ilikua na sera za kubana matumizi?Lini ilikua na Sera za kupinga Ufisadi Dhahiri? Hata kama hutaki kuamini, ila ukweli ni kuwa Mh JPM ameona yale yaliyolalamikiwa na upinzani mengi ni facts, na kwa kua yeye amejipambanua kua siyo mnafiki, anayafanyia kazi!
Acha ujinga wewe. Hakuna haja ya kuzungumza na mswahili mwenzako kwa kutumia Kiingereza kibovu. Unafikiri huyo mzungu wako atazungumza Kiswahili kibovu na mzungu mwenzake ili aonekane ni mjuaji siyo? Haya ni mawazo ya kipuuzi. Jivunie lugha yako na sio kuleta vijiutetezi vya kilofa unapoboronga lugha za wengine.