Upinzani ni chachu ya maendeleo

theBlack

New Member
Sep 7, 2018
2
0
Naona upinzani unayeyuka.... ila sioni mafanikio wala maendeleo kama upinzani utakuwa upotezwa Tanzania... sidhani kama kuna mbunge wa Ccm atakaye kubali kupondwa ilihali wao ndo wameshika dola.... mfumuko wa bei... kodi zinazidi kupanda na pia viongozi wengine naona kama hawajui mipaka ya kazi yao..

HAYO NI MAONI YANGU TU... CJUI YAKWENU?!!
IMG_20180802_191905.jpg
 
From my point of view


Opposition isn't about kuponda or criticism,
It's the Parliament's job kusimamia serikali not upinzani


Lengo la upinzani ni ku strengthen democracy na kuhakikisha we all have the same right to a say


And all in all maltipartism isn't the only indicator of democracy na mind you vyama vya siasa Tanzanian vipo viiingi sana
 
Back
Top Bottom