Mimi kama mwana CCM nahimiza wanachama wenzangu tuwe wapinzani ndani ya chama.Kwa hili namaanisha tusipoikosoa chama chetu hiki tukufu, itazidi kuchafuliwa na viongozi wachache ambao sasa wamekuwa miungu watu.
Ombi langu ni tuikashifu makosa yanayo fanywa kama tunavyo pongeza mema yanayotendeka.Tuwache siasa za kishabiki na unafiki.
I submit.
Ombi langu ni tuikashifu makosa yanayo fanywa kama tunavyo pongeza mema yanayotendeka.Tuwache siasa za kishabiki na unafiki.
I submit.