ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,501
- 3,342
Matamko kuhusu UKUTA yameishia wapi?
Mbowe na viongozi wenzako mbona mmekaa kimya sana, Serikali ina mkono mrefu na hamuwezi kushindana nayo hata siku moja, UKUTA umetoka nyufa kwa sasa hata mlevi anaudondosha ikifika Septemba 1.
Ingekuwa ni mechi ya mpira wa miguu, mshapigwa 3-0 kabla hata ya mechi kuanza, achaneni na UKUTA watoeni wenzenu waliopo selo.