Upinzani Mara 2020

Upinzani Mara 2020

Marwa Chacha

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
102
Reaction score
51
Katika msimu wa uchaguzi ambao Watanzania wengi watasubiri matokeo yake kwa hamu ya kuona kama bado uimara wa upinzani upo ni majimbo 5 ndani ya mkoa wa Mara na ni haya hapa Rorya chini ya Ezekia Wenje, Musoma mjini Julius Mwita, Tarime Mjini Easter Matiku, Tarime vijijini John Heche, Serengeti Catherine Ruge Kisha Bunda mjini kwa Ester Bulaya.

Naamini haya majimbo yapo wazi sana. Pia iaminke kuwa CCM mkoa wa Mara haijawahi kushinda uchaguzi halali tangia vyama vingi vianze. Kwa asilimia kubwa wamekuwa wanabebwa na vyombo vya dola.
 
Sasa ninyi Wanaume wa Mara si mkubali tu kuongozwa na Wanawake. CCM ya huko ni vurugu tupu mgombea akipendekezwa kwa wengine ving'ang'anizi na umri umeenda km Wassira
 
Back
Top Bottom