Upinzani kwenye Bihashara (competition)

Cathelin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,071
Reaction score
3,998
Hope mko poa.

Je ushindani kwenye bihashara ni mzuri au mbaya.

Zipi faida za kuwa na mshindani kwenye bihashara yako

Na zipi hasara zake za competition kwenye bihashara.

Mfano una duka anakuja mtu anaweka duka Kama lako yaani the same products karibu na wewe.


Au una pharmacy anakuja mtu anaweka pharmacy karibu yako.

Zipi faida na hasara za competition kwenye bihashara.
 

Competition inawezasaidia kama utakua makini na kukumaliza kama hutotaka kujifunza
  • mfanyabiashara kulisoma soko na kuongeza kuwaza nje ya box na kuja na bidhaa bora zaidii ambayo ni faida kwake na wateja, japo inaweza kumgharimu muda na pesa
  • bidhaa kujulikana kwa haraka zaidi sababu ya upatikanaji wake sehemu nyingi
-inasaidia mfanyabiashara kukua katika ubora wa bidhaa na huduma kwa kule kuweza kuwa tofauti na wengine
-Inasaidia wateja kupata huduma bora toka kwa mtoa huduma bora zaidi, kwani mara nyingi kuwa mwenyewe kwenye soko husababisha huduma mbaya sababu mteja hana namna nyingine zaidi ya kununua huduma hiyo kwa mtu huyohuyo tuu

Usiogope competition, mara nyingi wateja wananunua huduma bora na sio huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…