Upinzani kuingia bungeni bila Wazanzibar ni kuisaliti katiba yetu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Kama tunasisitiza kufwata katiba kweli NA kuilinda basis ntashangaa kuona wabunge Wa upinzani wakiwa bungenii

Ili bUNGEe LA jamhuri likamilike tunaitaji member wote Wa znz bungeni..nakama kutakuwa NA upungufu naweza sema bunge punguufu ambalo upinzani ukidiriki kuendelea nalo ni kuisigina katiba ya nchi

Tunaomba mliangalie hili KWA mapana NA marefu tusiangalie hapatu

MUNGU IBARIKI ZNZ IBARIKI TANZANIA NA WATUWAKE
 
ZANZIBAR UCHAGUZI UBARUDIWA WW ZOBA. NITAJIE KIFUNGU KINACHOSEMA KAMA UCHAGUZI WA ZNZ UNARUDIWA BUNGE LISIFANYIKE. FAHAMU KUWA WABUNGE WA NEC.WALISHAPATIKANA ZNZ
 
Zanzibar uchaguzi wa wabunge wa NEC ambao ni wabunge wa bunge la Tanzania huo haurudiwi isipokuwa wa jimbo la kijito upele hakujafanyika uchaguzi. Uchaguzi uliofutwa ni wa Rais wa Zanzibar na wawakilishi ambao unasimamiwa na ZEC.
 
Kama tunasisitiza kufwata katiba kweli NA kuilinda basis ntashangaa kuona wabunge Wa upinzani wakiwa bungenii

Ili bUNGEe LA jamhuri likamilike tunaitaji member wote Wa znz bungeni..nakama kutakuwa NA upungufu naweza sema bunge punguufu ambalo upinzani ukidiriki kuendelea nalo ni kuisigina katiba ya nchi

Tunaomba mliangalie hili KWA mapana NA marefu tusiangalie hapatu

MUNGU IBARIKI ZNZ IBARIKI TANZANIA NA WATUWAKE
Wee mburula nani kakwambia hukutakuwepo wabunge kutoka Zanzibar?
Sijui nyie vodafasta kawaloga nani?!
 
Mnamhukumu huyu jammaa wakati hamjamuelewa anachomaanisha .iko hivi kama uchaguzi wa zanzibar usingefutwa .maana yake baraza la wawakilishi lingeitishw na kuanza kazi yake .na kwa mujibu wa katiba .baraza la wakilishi linaruhusiwa kuchagua wabunge 5 kutajo ndani ya baraza hilo na wanaingia katika bunge la jamuhuri ya mungano .na ukijumlisha navwale wa majimbo ya zanzibar na wabara na wa viti maalum .na hao 5 ndio bunge linakua limekamilika .
 
Mijadala ya Jamii forum imeingiliwa Na ushabiki badala ya MSInGI wa hoja !!!
Jiulize moja ya hoja ya ZAnzibar I ayotajwa ni Idadai ya wapigakura bandia
Pi inakuwaje kura tatu haramu mbili halali??

Jadili
 
Back
Top Bottom