Dan Muhina
Member
- Jul 14, 2018
- 64
- 71
Mwaaaaah katika shavuNchi haiwezi kukosa wapinzani
Usikariri mkubwa hiyo 2020 usishangae huko ccm wakakimbia wengi kuja upinzani maana nako kumekuwa kwa moto kwa baadhi yaoWimbi la Madiwani wengi kutoka Upinzani kujivua Uanachama na kuhamia CCM ni dhahiri shahiri kuwa 2020 Upinzani hautokuwepo kabisa! Yapo mambo mengi ya kujiuliza ni kwanini mambo hayo kutokea sasa? Jibu ni moja tu kuwa zilizokuwa kero nyingi zikiisakama jamii ya wa Tanzania hadi kufikia Tanzania kuitwa Shamba la Bibi sasa zinatatuliwa moja baada ya nyingine, nidhani katika taasisi za Umma zimebadilika mno na kuwa zenye kuwaridhisha Wananchi,Aidha udhibiti wa upotevu wa Mali za Umma na udhibiti wa Uchumi umepelekea kila Mtanzania Mzalendo mwenye kuipenda Nchi yake( sio vibaraka)kufurahia hali hii hivyo kutokuwa na sababu ya kuuchagua Upinzani 2020 kwa maana hiyo tutegemee Upinzani kufa 2020
Umemaliza kuota? Elimu yako ni ya bei na kiwango gani? Hukufundishwa na walimu wako kuwa hakuna kitakachosemekana kufanyika hadi pawepo na nguvu mbadala na kinyume? Au ulifundishwa na kuyaacha maarifa yale kwenye kizingiti cha mlango wa darasa?Wimbi la Madiwani wengi kutoka Upinzani kujivua Uanachama na kuhamia CCM ni dhahiri shahiri kuwa 2020 Upinzani hautokuwepo kabisa! Yapo mambo mengi ya kujiuliza ni kwanini mambo hayo kutokea sasa? Jibu ni moja tu kuwa zilizokuwa kero nyingi zikiisakama jamii ya wa Tanzania hadi kufikia Tanzania kuitwa Shamba la Bibi sasa zinatatuliwa moja baada ya nyingine, nidhani katika taasisi za Umma zimebadilika mno na kuwa zenye kuwaridhisha Wananchi,Aidha udhibiti wa upotevu wa Mali za Umma na udhibiti wa Uchumi umepelekea kila Mtanzania Mzalendo mwenye kuipenda Nchi yake( sio vibaraka)kufurahia hali hii hivyo kutokuwa na sababu ya kuuchagua Upinzani 2020 kwa maana hiyo tutegemee Upinzani kufa 2020
Rais Magufuli amejipambanua si mbaguzi wa kiitikadi ndio maana ameweza kuwateua Wapinzani kwenye nafasi nyeti Serikalini. Hongera Rais Magufuli kwa kujenga umoja wa kitaifaJiwe linapoipeleka ccm sijui.....
Haiwezekani utujazie wapinzani ndani ya chama chetu then uwape vyeo....
Humphrey polepole; video zipo akiiponda ccm live leo jiwe limempa ukatibu itikadi wa chama.
Julianza shoza; huyu umemtoa chadema leo waziri
Kitila mkumbo; leo umempa ukatu mkuu serikalini.
Mrema; mwenyekiti wa parole