Teeeh teeeh teeeeh sasa hivi wana weweseka kama wanaumwa dege degeSiku zote chakula Cha kushiba huonekana kwenye sahani ..si mlisema chadema imekufa??? Hao ni nani
Jamaa zetu ccm wanachachawaNaona dawa inawaingia vyema kabisa, ccm bye bye bye
Wamesha data tayariSasa na wewe sijui vipi!? Ulitaka watu wasiende kwenye mikutano? Ni nani aliekuambia kujaza watu ndio kura!? Mataga mbona mnaweweseka? Aisee poleni sana mwaka huu mtadata na nyomi
Hata huna haja ya kunimbia maana ni wajibu wanguTukutane October 28
Walipo kataza kufanya shughuli za siasa kwa miaka 5 wakajua tayari washaumaliza upinzani nchini.
Huyo inawezekana hata hapa jf na mambo ya siasa alikuwa bado hajayajuaKwan una uhakika 2015 CCM ilishinda kihalali ..
Lowasa alikuwa anakusanya mara mia ya hao,
Siku hizi hatuoni zile swaga kwamba Chadema imekufa πππ!Sijui nini kimewapata hahahaaa! Katika toka 2015 hakuna kipindi ambacho nimekuwa na furaha kama kipindi hiki!Mpaka kampeni ziishe nitakuwa nimenenepa!Mkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!
Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!...
Yaani ya safar hii ni funga kz kuliko ya 2015 ...wataongea sana lkn wanajuta kukatAza mikutanoWalipo kataza kufanya shughuli za siasa kwa miaka 5 wakajua tayari washaumaliza upinzani nchini.
Kumbe sasa ndiyo kwamba upinzani unazidi kuboreka kama umetiwa samadi.
Kuishinda ccm labda uipambanishe na ANC hapo ndiyo kutakuwa na mtifuano wa kufa mtu.Lakini hawa wapinzani wa bongo wanaoangalia mafuriko mhhhhhhhhhMkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!
Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!
Ukitaka kujua hilo nenda kwenye coment za raia uone wanasemaje kuhusu Lisu, hasa kwenye page za BBC, VoA na DW.
Kiufupi Lisu hana mtaji wa watu nje ya chama chake.
Achana na haya mazombie yanayopiga kelele humu JF!
Unafurahia ujinga mkuu! Kama ule wa 2015.Siku hizi hatuoni zile swaga kwamba CDM imekufa!Sijui nini kimewapata hahahaaa! Katika toka 2015 hakuna kipindi ambacho nimekuwa na furaha kama kipindi hiki!Mpaka kampeni ziishe nitakuwa nimenenepa!