babatovu
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 2,739
- 1,602
Wana jamvi,
Napata ukakasi kidogo wa namna ya upigaji wa kura BMK kwa maana ya 2/3. Ccm wanaongea kwa uhakika kabisa kwamba 2/3 ipo bila wasiwasi wowote. Wakati huo huo inasemekana ni ngumu kuipata 2/3 bila uwepo wa wawakilishi toka Zanzibar upande wa CUF. Hili limekaaje wadau?