Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,426
- 4,329
"Mauti yamevikwa taji dhidi ya dua... unaenda ukiwa shujaaa"
Nenda salama Ruge, Nenda salama salama.
Huu ndio wimbo wangu bora ukifatiwa na tutaonana wa Gudluck...
Huu wimbo wa Mpoto na THT unavutia sana kusikiliza na una vuta usikivu sana..
Huuu wimbo umeandaliwa vyema ...Mpoto ni fundi... bila kuwasahau walio imba chorus wakiongozwa na Nuruel....
Kwanza katika huu wimbo mie nimependa Chorus tu, halafu Nuruelly anaimba jamani
Ujue pale linaimba kundi la watu ila sauti yake ndo inasikila bila shida
Jamaa anaimba jamani, narudia tena Nuruelly anaimba jamani
Anaebisha anijibu hapa
Sent from my iPhone using JamiiForums