Upi wimbo safi zaidi wa maombolezo, Nenda Ruge wa Mrisho mpoto Vs Tutaonana tena wa Gudluck Gozbert

Kuna ulioimbwa na chid benz, banana zolo na TID. Hio ngoma ni kali kupita maelezo
 
Wimbo wa Gozbert tutaonana tena umeliza watu wengi sana ktk misiba hii, eengine wamekumbuka na ndugu zao, wa Mpoto una ujumbe sema haujaliza watu sana.

Gozbert No1
 
Tutaonana badae napenda ile original ya wakenya hi ya good ina lack some utulivu
 
Nyimbo ya mrisho mpoto ni Kali, na ukiisikiliza lazima choz likutoke

Umeimbwa kwa hisia maana walioimba ni wahisika wa marehemu kwa karibu,


HUU WIMBO MPOTO KAUTENDEA HAKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wimbo wa Gozbert tutaonana tena umeliza watu wengi sana ktk misiba hii, eengine wamekumbuka na ndugu zao, wa Mpoto una ujumbe sema haujaliza watu sana.

Gozbert No1
Huo wa gozbet haujaufukia wa mpoto

Labda kama hufatilii, wimbo wa mpoto hadi watu wamezimia,

kaangalie alipouimba pale bukoba , utaelewa huo wimbo umeimbwa kwa hisia za MOJA kwa MOJA ,maana waimbaji ni wahanga wa msiba direct

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom