Fanya utafiti,tembelea hospt yoyote ya karibu, uliza watoto wa ngapi wa kiume au wa kike wamezaliwa ndani ya mwaka mmoja, pia uliza watu wakiume au wakike wangapi wamefariki ndani ya muda huo,je ndani ya ukoo wenu/mtaani watu wengi ni wanawake au wanaume?majibu utayapataNamajibu bila shaka mkuu.
mkuu sema tunaweza zaidi ya twawezaKiufupi mkuu, Cc kwetu tumezaliwa wa3 wakike 2 wakiume ni 1, Ambae ni mimi, Na mimi nina watoto 4" wakike wa3' Wakiume ni1'' Swali je kwenu mmezaliwa wangapi wakike na wakiume???" Ndo majibu ya tasmin, Tuyapate kupitia uzi huu ,Haina maana kutafuta wataalam na cc tupo tunaweza Kama twaweza.
1. xx+xY =XX, XX, XY . So chance ya kupata wa kiume ni 1/3Lakini pia nendeni mbali kidogo pale panapo kiwanda cha uzalishaji , kitaalam zaidi ktk maswala ya sayans Maana nikitizama naona kuna spam × na y, Kunakitu utagundua chanzo cha kuwepo kw idadi kubwa ya wanawake.
Pamoja na hayo, sio wanaune wote wanataka kuoa, wengine maisha yamewapiga, wengine washakuwa mateja, wengine mashoga, wengine magereza, sasa ukiangajia idadi wanawake wanaihitaji wanaume lazima wanawake watakuwa wengi sana sana.Wanaume wana maisha mafupi ya kuishi duniani kuliko wanawake na ndo mana wanawake ni wengi