Haya mambo ya mimba na mzunguko wa hedhi unawasumbua wengi wa Watanzania.
Hii ni needs assessment tosha kufanya somo la baiolojia kuwa lazima kwa wanafunzi wote wa sekondari. Sio kwa ajili ya kuelewa mfumo wa uzazi pekee, bali kuelewa jinsi miili yetu inayofanya kazi, kuelewa athari zinapojitokeza n.k