Upi ni Usajili Mzuri kati ya Abdul Razak wa Yanga SC na Chikwende wa Simba SC

Kwani kati ya yanga na simba Nani ana shida ya beki?

Moro na mwamnyeto

Wawa na onyango

Wapi unaona wamekamilika...prone injuries za Moro ambae hawezi cheza hata mechi 5 mfululizo!
Yanga wamefungwa magoli machache kuliko Simba kwenye vpl huku Yanga amecheza game nyingi

Yanga wamemsajili Dickson Job
 
Simba haina shida ya beki, tuna beki kibao, hayo maneno ndiyo nayasikia kwa wanaojifanya wanajua mpira, una ibrahim ame, kennedy, nyoni, onyango, wawa, sasa beki ya nini tena
Kati ya hizo beki hamna hata beki mmoja mwenye speed
 
We beki Kama onyango east Africa unamtoa wapi mwingine? Utopolo mnashindwa kujua statistics beki gani imeruhusu goli chache? Yanga inawachowabeba ni form na Spirit ndomana beki inaonekana nzuri ila beki hamna mle
Mwamnyeto & Lamine hamna kitu mkuu?
 
Deal lilibuma akaenda timu nyingine huko huko egypty,but sio mchezaji mdogo kwa ukanda wa afrika mashariki,Yanga inafanya usajili wake kwa kutulia na ndio maana azam na nyau uwa wanasikilizia Yanga wanamtaka nani halafu wanamuwahi,hii ni sajili bora kabisa katika ligi yetu
Ni sajili Bora Kama Sarpong
 
Beki champions league imeruhusu goli moja katika mechi nne, kwenye leagye imeruhusu goli tano tu mzunguko wa kwanza, ukuta wa simba mala ya mwisho kurusu goli ilikuwa mechi yanga, tena penalt ya magumashi. Sasa nikimeona mtu anasema simba wanabeki mbobu huwa najiuliza anatumia kigezo gani?
Plateu & Platinum sio sawa na Al Ahly & AS Vita mkuu.. bookmark my words
 
Kwa Simba ya sasa aina shida ya beki,beki wa kati kijana uliempendekeza ni Ibrahim Amme.
Onyango ni kijana sema mnahofu umri wake kwasababu ana uso wa mbuzi.
Shida sio kijana tunajua kuwa onyango ni mdgo wetu ana 27, shida ni kasi.. shida ya Wawa ni kasi, nyoni ni kasi rejea tuisila vs joash, chikwende vs nyoni & onyango kule Zimbabwe
 
Ame anatosha sana kama beki namba nne. Chikwende ni usajili bora kabisa. Huyu anailazimisha timu pinzani kujihami muda wote so mabeki wake hawatakua na wakati mgumu.
Huyu wa Yanga toka Burundi ni mtoto wa dada Caze kaja kula na mjomba Kama Maximo na Jaja.
Chikwende atawaongezea kasi mbele akisaidizana na Luis ila mtafungwa magoli mengi sana, mbele Chikwende, Luis, Chama, Bocco.. wachezaji wanne mbele hawakabi afu unacheza na Ahly
 
Chikwende atawaongezea kasi mbele akisaidizana na Luis ila mtafungwa magoli mengi sana, mbele Chikwende, Luis, Chama, Bocco.. wachezaji wanne mbele hawakabi afu unacheza na Ahly
kama mnaogopa kiasi hicho champions league tafdhali msihangaike kugombania ubingwa wa vpl wenzenu kina manula washazoea hizo mechi nyie kila siku kujazana uwoga tu wa afrika kaeni hapahapa mgombanie kombe la mapinduzi
 
Shida sio kijana tunajua kuwa onyango ni mdgo wetu ana 27, shida ni kasi.. shida ya Wawa ni kasi, nyoni ni kasi rejea tuisila vs joash, chikwende vs nyoni & onyango kule Zimbabwe
Simba akuna tatizo la beki kwasasa.
Iyo kasi unayosema labda kushauri benchi la ufundi pamoja na ao wachezaji waongeze zaidi juhudi ya kutafuta kasi na wepesi wanapo train.
 
Back
Top Bottom