Upi ni Usajili Mzuri kati ya Abdul Razak wa Yanga SC na Chikwende wa Simba SC

Mr_X

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
1,170
2,336
Abdul Razak
Hakuna mfatiliaji na mdau wa soka bongo asiejua kwamba shida ya Yanga SC ni striker, Yanga ilikuwa inaitaji striker na imepata striker, kuhusu striker ni Mzuri kiasi gani ligi zetu za kiafrika hazina formula

Chikwende
Nadhani watu wengi wa Simba na wadaawa wa soka wengi bongo walitegemea Simba ingesajili beki wa Kati kijana na mwenye speed, lakn Barbra amesajli forward, Chikwende sio mchezaj mbaya, kwani anakasi na ataongeza kasi zaidi mbele, lakn kwa Mtazamo wangu Mimi Simba waliitaji beki wa Kati pia zaidi kuliko striker
 
Simba haina shida ya beki, tuna beki kibao, hayo maneno ndiyo nayasikia kwa wanaojifanya wanajua mpira, una ibrahim ame, kennedy, nyoni, onyango, wawa, sasa beki ya nini tena
 
We beki Kama onyango east Africa unamtoa wapi mwingine? Utopolo mnashindwa kujua statistics beki gani imeruhusu goli chache? Yanga inawachowabeba ni form na Spirit ndomana beki inaonekana nzuri ila beki hamna mle
 
Beki champions league imeruhusu goli moja katika mechi nne, kwenye leagye imeruhusu goli tano tu mzunguko wa kwanza, ukuta wa simba mala ya mwisho kurusu goli ilikuwa mechi yanga, tena penalt ya magumashi. Sasa nikimeona mtu anasema simba wanabeki mbobu huwa najiuliza anatumia kigezo gani?
 
Ligi mzunguko wa kwanza Simba amemaliza!

Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
 
Simba aina beki yapo mapazia, ni swala la muda tu upepo wa goli tanotano utakapo vuma nyeti za Simba zitakua hadharani.
 
Nahisi toka Onyango akimbizwe kwa kutanguliziwa mipira mbele na yule kijana wa yanga watu hawana imani nae kabisa.
Wasio na amani hawajui mpira. Onyango amekuja Simba akiwa MVP wa ligi ya Kenya (kama alivyokuwa Chama kwenye ligi ya Bara). Bado akiwa Simba amethibitisha hilo na hakuna beki bora hadi sasa kuliko ya Simba hapa Bara. Bado kuna Wawa, Nyoni, Kennedy, Ame, halafu mtu anakurupuka kusema mahitaji ya Simba ni beki, hivi watu huwa mnaangalia mpira kweli?
 
Yanga ni kama mchawi huwa hapendi
 
Ame anatosha sana kama beki namba nne. Chikwende ni usajili bora kabisa. Huyu anailazimisha timu pinzani kujihami muda wote so mabeki wake hawatakua na wakati mgumu.
Huyu wa Yanga toka Burundi ni mtoto wa dada Caze kaja kula na mjomba Kama Maximo na Jaja.
Ww ulimuona wapi chikwende akicheza hadi unasema mzuri?
 
Hiyo Form na Spirit inauzwa Wapi!??
Inatokana na kukosa ubingwa kwa miaka 3 hivyo inapandikizwa kuanzia kwa kocha,viongozi, mashabiki Ila kiuhalisia hawapo Bora ndomana mechi za kiufundi ambazo sio za kukamia ubora wa yanga katika safu ya ulinzi hauonekani...Angalia goli la kizembe alilofunga Steven sey, na majeruhi ya mara kwa Mara ya Moro kwa kukamia pita kiasi mfano mechi ya Simba kacheza kipindi kimoja
 
Back
Top Bottom