SHIVA MAINA
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 293
- 42
Samahani wana jamvi mimi ni miongoni mwa walimu tarajali tunaotaraji kuajiriwa mapema mwezi Mei, naomba kujuzwa ni upi mfuko bora kati ya PSPF, LAPF, NSSF,PPF na mingne...
Mifuko yote hiyo ni ATM za viongozi wa CCM na serikali zao.
Sasa wewe kweli ubongo wako umegandaaa umeulizwa kuhusu mfuko mzuri wa pensheni wewe unaleta habariza ccm.
Jibu swali
Mifuko yote hiyo ni ATM za viongozi wa CCM na serikali zao.
duh!. Kazi kweli kweli
Inaweza kua na ukweli hii!PSPF ndo habari ya mujini wengine wote hao vyenga tu!!