1980- mpole mno
1981-una mipango mingi ila utekelezaji zero.
1982-Muongeaji sana,
1983-Unahekima/Mtafutaji
1984-upo rafu ktk mambo yako,
1985- mcheshi,
1986-Mbunifu
1987- una bahati,
1988-Handsome/ mrembo
1989-una mvuto
1990-una hasira
1991-unapendwa xana.
1992- unafuraha mda mwingi,
1993-una wapenzi wengi
1994-mbishi
1995- mvivu
1996- mgomvi,
1997-msafi,
1998-Unatamaa ya vi2 visivyo vyako.
Ukweli unauma!!