Upgrade to windows 7 professional au ultimate bila kutumia cd wala chochote

wadau, watu wengi wanaonunua brand new computers uwa wanakuta imeku installed na cheapest windows 7 starter ambayo ina lack many features ahass upande wa multimedia.
Sasa ngoja niwape siri moja ni kwamba DVD ya installation ya windows 7 uwa inacontain aina zote za Windowa seven sema kuna command tag ambayo ndiyo ina determine cd ikuwekee windows 7 aina gani.
sasa kwa wenye windows 7 statrter leo nawapa formula ya ku upgrade windows 7 starter bila kutumoa internet wala cd la kufanya fanya haya:
Start->All Programs->type Windows Anytime Upgrade na press enter
weka hizi key upgrade to Proffession->237XB-GDJ7B-
MV8MH-98QJM-24367 na ku upgrade to Ultimate->6K2KY-BFH24-
PJW6W-9GK29-TMPWP
itachukua kama dakika 10 kazi kwisha

Mkuu naomba nieleweshe vizuri natumia windows 7 Professional, sasa hizo hatua sijakupata vizuri hasa hatua ya mwisho, type Windows Anytime upgrade maana nikisha click all programs inakuja list ya programs sasa hayo maneno windows7 professional natype wapi ili iniletee sehemu ya kuweka hizo key. Msaada kwa yeyote aliyeelewa please!
 
Mkuu naomba nieleweshe vizuri natumia windows 7 Professional, sasa hizo hatua sijakupata vizuri hasa hatua ya mwisho, type Windows Anytime upgrade maana nikisha click all programs inakuja list ya programs sasa hayo maneno windows7 professional natype wapi ili iniletee sehemu ya kuweka hizo key. Msaada kwa yeyote aliyeelewa please!

Kwenye windows 7 uki click kwenye start chini ya all programs kuna sehemu ya kutype so hapo ndipo u type
 
mkuu mi natumia, window 7 proffesional. hivi karibuni imeni alert window is not genuine, kwa hiyo naweza kui upgrade kwenda ultimate nikitumia key za ultimate ulizotoa kwenye thread. asante

Yah unaweza upgrade lakini tafta cracker au windows 7 activator kwenye google ui activate
 
Me natumia Window 7 Home Premium je naomba ushauri nichange kwenda Window 7 Ultimate maana naona wadau pamoja na wewe mmesema kwamba Window 7 Ultimate ina kila kitu au mnanishauri vipi??
ME NILIKUWA NA HIYO HIYO SASA NISHA UPGRADE KUWA 7 ULTIMATE KWA HAYA MAUJANJA YA HUYU NGULI WETU.
BIG UP
user-online.png
elmagnifico
 
Mkuu ni saidie jinsi ya kupata webcam drivers za samsung rv 515 nimezunguka kwenye net sipata kabisa, mmbu ndo wananguruma huku nnje ya net ndo nawaona mkuu.
 
Mkuu pia nimesahau kidogo, ushauri wenu je? Niki upgred hiyo window 7 haitafuta document zangu ndani ya laptop? Nikitaka kutoka window7 kwenda kwa ubuntu bila kutumia cd nifanyeje? Pia kumbuka niwe nazo zote tatu window xp window7 na ubuntu japo kwa sasa nina window7 peke yake. Natanguliza shukrani wakuu, nitafurahi zaidi iwapo utanijibu kwa pm ili nielewe zaidi.
 
Wadau msaada, nimefanya kila kitu ila mwishoni inaleta ujumbe huu..."The upgrade key you entered is for an edition that does not work with Windows Anytime Upgrade. Enter a different upgrade key". Ujumbe huo nimeupata both kwenye profession na ultimate.
 
Dah yaani mkuu ni rahaaaaa utamu kitu ultimate in a fraction of minutes thanks a lot Elmagnifico cause you have made up my computer hasa ukizingatia kuwa kuna watu walishaniambie nipige chini window ila mi sikukubali pendekezo lao na mimi nilikuwa na windows starter ambayo sijawahiipenda hata sekunde moja. Thanks a lot once again and HAIL JAMIIFORUMS
 
naomba msaada mie yangu windows 7, ila now ni kama iko blocked kila mara inaniletea msg kuwa my windows 7 co genuine...
 
Pc yangu nimeinstall win 7 ultimate bila partition nataka kuweka partition naomba kama una msaada wa kunisaidia mdau kuweka partition au kama unasoftware naomba ya kupartition bila cd nitashukuru ukinielekeza software ya kupartition maana inapartion moja tu na laptop yangu haina cd rom ili niweke data kwenye partition a pili kwa kuzilinda ikicorrupt
 
Nimeshindwa elewa ni kitu gani unatype coz nimetype ...
"Window anytime upgrade "haijaniletea hicho kitu !!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Pc yangu nimeinstall win 7 ultimate bila partition nataka kuweka partition naomba kama una msaada wa kunisaidia mdau kuweka partition au kama unasoftware naomba ya kupartition bila cd nitashukuru ukinielekeza software ya kupartition maana inapartion moja tu na laptop yangu haina cd rom ili niweke data kwenye partition a pili kwa kuzilinda ikicorrupt

Local disk c yako ina free space kiasi gan na particion ya pili wataka iwe na space kias gan. Njbu then ntakupa maelekezo ndan ya dakika kadhaa utakuwa ushamaliza
 
Local disk c yako ina free space kiasi gan na particion ya pili wataka iwe na space kias gan. Njbu then ntakupa maelekezo ndan ya dakika kadhaa utakuwa ushamaliza

Ina freespace ya Gb 470 nataka partition ya pili iwe na GB 300 maana full size ni Gb 500 ahsante sana mdau kwa ushirikiano wako ubarikiwe
 
mdau ci ungetumia rom inayotumia usb coz kupartition bila cd haitakuwa poa..kufanya partition kwa w7 maelekez yake co magum san ambayo yatakfany ushindwe kaka try it ryt? khalifab@rocketmail.com.................
 
guuuuuuuuuuuud mkaka umesomeka oyo member fanya hivyo na mie nimejifunza pia thanx god kwa kumleta thiz guy jf
 
kwa yule aliyeuliza kuhusu kufanya partition bila kuformat comp au kutumia 3rd part software afanye hivi.
nenda kwenye my computer icone hapo kwenye desktop, right click na chagua manage then itatokea window, kwenye upande wa kushoto wa hiyo window kuna sehemu imeandikwa storage then chagua hiyo storage halafu disk management then upande wa kulia utaona katikati kuna sehemu vibox vimejigawanya. tafta bocx lenye OS (c). right click kisha chagua shrink volume then wait kwa muda.
kisha itakuletea window ambayo imeandikwa hivi total size before shrink in mb, size available to shrink in mb, halafu enter amount you want to shrink in mb. sasa hapo enter kiasi unachotaka kisizidi size available to shrink kisha click shrink. then wait.
hapo itakurudisha kwenye vile vi box vya mwanzo huku kibox chenye size ya kiasi ulicho chagua kikiwa kimeongezeka lakini kimeandikwa raw. sasa right click kwenye hicho kibox na chagua new simple volume then piga next tena nex hapo itakuletea uchagulie hiyo new volume letter utaichagulia then next, nnext mpaka mwisho basi utakuwa umemaliza rudi kwenye my computer click utaona imeongezeka.
 
Back
Top Bottom