Uperesheni tokomeza upinzani Kilimanjaro

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,904
1551007272708.png

Kwa siasa hizi na nguvu ya dola huenda wakafanikiwa kutokomeza upinzani na demokrasia Tanzania.

Upinzani umenyimwa kufanya siasa lakini ccm wanaendelea kama kawaida. Tungelikuwa na wananchi wenye uelewa haki ingeonekana lakini kwa hali ya Tz wengi hufuata upepo unakoelekea. Tuna kazi.
 
Mm hata itokee ajali nikikuta ni maccm napita hivi!
View attachment 1030890Kwa siasa hizi na nguvu ya dola huenda wakafanikiwa kutokomeza upinzani na demokrasia Tanzania.

Upinzani umenyimwa kufanya siasa lakini ccm wanaendelea kama kawaida. Tungelikuwa na wananchi wenye uelewa haki ingeonekana lakini kwa hali ya Tz wengi hufuata upepo unakoelekea. Tuna kazi.
 
View attachment 1030890Kwa siasa hizi na nguvu ya dola huenda wakafanikiwa kutokomeza upinzani na demokrasia Tanzania.

Upinzani umenyimwa kufanya siasa lakini ccm wanaendelea kama kawaida. Tungelikuwa na wananchi wenye uelewa haki ingeonekana lakini kwa hali ya Tz wengi hufuata upepo unakoelekea. Tuna kazi.
Siasa za sikuhzi ni mipasho tu, mtu mwenyewe unaweza ukamkuta anakula kwa kuombaomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom