figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,715
- 59,249
A gust of wind blows away Pope Francis' skullcap during the weekly general audience, Vatican City
Picture: EPA
Pole sana Pater Patrum (papa).
Kazi sasa kwa wasaidizi wa papa.Kwa kuwa hilo limeshatokea na hawakulitarajia, bila shaka litatokea tena siku nyingine tena kwenye mazingira magumu.Wafanye hivi: Waige la kwenye miwani. Uzi/kamba maridadi ishonwe kwenye kofia juu ya sikio kisha kamba hiyo izungushwe chini ya kidevu na kushonwa tena upande mwingine wa kofia.In that way, no more blowing off of the skull cap! Sijui kama vatican watakubali kufanya hivi maana hawa wajamaa ni wahafidhina balaa!![]()
A gust of wind blows away Pope Francis' skullcap during the weekly general audience, Vatican City
Picture: EPA
Hehehhe,ndo maana yake?
Nakuletea nukuu kutoka kitabu cha The Dark Side Of Christian History nayo inasema
around the spring equinox, became the Christian holiday of Easter. Christians took over a cave-temple dedicated to Mithra in Rome on the Vatican Hill, making it the seat of the Catholic Church. The Mithraic high priest's title, Pater Patrum, soon became the title for the bishop of Rome, Papa or Pope. The fathers of Christianity explained the remarkable similarities of Mithraism as the work of the devil, declaring the much older legends of Mithraism to be an insidious imitation of the one true faith..
Nukuu hiyo inatoka ukurasa wa 24.
Ninatamani nikiokote mimi hiki kikofia cha Papa ukikiokota unakiuza na kupata pesa nyingi tu :teeth::becky::becky:![]()
A gust of wind blows away Pope Francis' skullcap during the weekly general audience, Vatican City
Picture: EPA
Sante kunielewesha mkuu
Nakuletea nukuu kutoka kitabu cha The Dark Side Of Christian History nayo inasema
around the spring equinox, became the Christian holiday of Easter. Christians took over a cave-temple dedicated to Mithra in Rome on the Vatican Hill, making it the seat of the Catholic Church. The Mithraic high priest's title, Pater Patrum, soon became the title for the bishop of Rome, Papa or Pope. The fathers of Christianity explained the remarkable similarities of Mithraism as the work of the devil, declaring the much older legends of Mithraism to be an insidious imitation of the one true faith..
Nukuu hiyo inatoka ukurasa wa 24.
mshaanza kuleta tafsiri zenu za kisabato.
Inawezekana kuna kitu tunaambiwa. Yawezekana ni dalili ya kwamba yatupasa tumtambue ni nani huyu mtu kiuhalisia...Just thinking hard...