Upepo wa Membe mtaani usipime

We Ni Professor mkuu?
(Nyie Ndio Wana Jf wenyewe)
 
Hiyo ni mitaa ya nchi gani maana mitaa ya Tanzania membe hatumjui kabisa labda lowasa
 
Nataka kubeti hata kwa milioni 10 Magufuli anagombea kupitia CCM 2020.
Ambae yuko tayari kuweka milioni 10 tukutane tuweke 10M tusubiri mtanange.
 
Acha kabisa Mkuu hili likitokea la Bugirichato kupigwa chini furaha itakayokuwepo nchi nzima itakuwa haina mfano.

Watanzania wengi watalia machozi ya furaha na wengine waliothiriwa na huyo dhalimu kwa namna mbali mbali yatakuwa machozi ya huzuni.
Unajua wauza ngada lazima wawaze kama wewe maana ndio walioathiriwa zaida na utawala wa haki
 
Mtakaoenda kupiga kula hyo 2020 mtanipigia na mm basi,,,,,mana nimejaribu kuutafuta mzuka Wa kupiga kura mwakani lakin siupati bado
 
Nataka kubeti hata kwa milioni 10 Magufuli anagombea kupitia CCM 2020.
Ambae yuko tayari kuweka milioni 10 tukutane tuweke 10M tusubiri mtanange.
Utatafunwa wewe... kodi yako ya chumba hujalipa leo unajiweka rehani wewe/mumeo na kitanda chako. Mambo nyingine uwe unashauriana na mumeo kabla hujakurupuka
 
Aliyepo madarakani sasa anapitia humu pia, nini afanye angalau 2020 apite kwa kishindooo.... Toeni ushauri kwamba hapa kwa sasa akifanya kitu flani mnampa kura 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…