Upepo wa Membe mtaani usipime

We unadhani sisi ni mbumbumbu wenzako eti? Utafiti usio rasmi unaweza kutoa taarifa za kina kiasi hicho unachojaribu kuonesha? Imefikia ukiuliza maoni ya mke na mumeo unaamini watanzania wanataka hiki na kile, eti? Ukome kuleta upuuzi JF.
 
Nadhani zimefanywa kule uani ufipa kwenye yale maturubai yaliyochakaa.
Ufipa ya nini tena hapa, kima kweli wewe! Huu uzi umeletwa na nzi wenzio wa kijani. Malizeni kung'ang'ania madaraka kabla nguvu ya umma haijaanza kudai katiba mpya itakayotuletea uhuru wa kumchagua kiongozi tunayemtaka. Sasa hivi tumieni polisi na vyombo vingine vya dola kujitangazia ushindi, siku yenu inakuja mtakapolia na kusaga meno.
Wananchi wa Tanzania haiwataki CCM for you information, ndiyo maana hata 2015 kwa kura nyingi kabisa waliamua kumpigia Edo ingawa halikuwa chaguo lao, kama ilivyo ada mkafanya yenu "PINDUA PINDUA" mkishirikiana Jecha kumsimika huyu "Kichaa" wa Chatle. Ukihitaji ufafanuzi muulize January Makamba, Nape na genge lake.
 
Liinsha lirefu lote la nini?
 
A foolish subjective shit!
Huko mtaani ni wapi anakokubalika huyo Membe?
[emoji706]
 
Kuna viini vya ukweli katika "utafiti huo usio rasmi"; hasa ukiangalia maeneo yanayounga na yasiyounga mkono.

Lakini, mwisho wa siku, haya yote kweli yatakuwa na maana yoyote katika matokeo ya uchaguzi? Iwe huko huko CCM kwenyewe, au nje, katika uchaguzi mkuu.
 
Unanikumbusha Jenereli Chemical yule wa Saddam,wakati maji yapo shingoni yeye alidai Saddam yupo ngangari,kwa taarifa yako labda Membe anajulikana huko kwao Lindi,si ajabu aliitwa joka la mdimu, Membe ambaye alishindwa hata kujenga kiwanda cha chokaa huko Lindi eti ndio chaguo la wengi,atabaki kuongea na watendaji wa vijiji huko kwao,Membe asahau uraisi Tanzania
 
Kweli aisee wanasiasa hawajawahi kubadilika ni walewale wanajua kucheza na akili zetu, cha muhimu ni ku deal na uchumi wako na familia yako tu, mengine hata ushinde unawawaza wao hutafanikiwA
 
Magufuli hahitaji CCM , ni CCM ndo ina muhitaji Magufuli, Magufuli hata akihamia chauma akampisha membe ccm na membe akaungana na wana cecm wote bado Magufuli atawashinda , huyu jamaa utendaji wake una mbeba sana mazuri ni mengi kuliko mabaya
Halafu huu ndo ukweli mchungu, ambao watu hawautaki
 
M nahic magufuli anapondwa sana huku jf, lkn ukienda you tube, insta watu wana mkubali sanaaaa, halafu unakuta mataifa mengine wanamkubali sana anko magu sasa cjui ndo ule msemo kua nabii hakubaliki kwao, au umuhimu wa manabii wa Mungu na mitume ulionekana wakati nchi zilipokua na ukame na balaa la njaa tu wakati wa shibe walipigwa mawe na muchomwa moto

All in all m naiheshimu siasa bhana tutagomvana sisi huku mitaani lkn wao wanajua nani wamsimamishe.. Cku zote cc tunasubir kile watakacho kiamua wao
Hujaenda Twitter Mkuu. Unampendaje mtu mwenye tabia za Bokassa, Mobutu, Mugabe na Idi Amin? [emoji15]
 
ila siasa itabaki kua siasa, nikajua atatajwa kiongozi w Upinzani labda ndo atachukua nafasi ya anko Magu, ila anategemewa Membe ambae ni ccm na Magufuli ambae ni ccm.... No change wote watafuata ilani ya ccm tu.
ila nina uhakika anko magu anachukua tena nchi. maana mitaani anapondwa na kusifiwa utasikia "jamaa kabana uchumi mtaani hakuna hela lkn jmaa anafaa kwa mambo anayo fanya"
 
Membe hawaogopi wale wachawi wa Gamboshi? Au yeye anamtegemea Tekero au Mwenyezi?
 
Kama hii ni kweli, nitaanza kuhoji akili ya Membe.
 
Kwa lipi alilofanya? Unduli, udikteta, wizi, ufisadi, kudukua mawaziri wake, kuwadhulumu wakulima wakorosho, wafanyakazi, kuidharau katiba, bunge, mahakama, kujichotea trillions kinyemela, kununua wabunge na madiwani.

Tanzania, Taifa lililokithiri kwa kuwa na wapumbavu wengi kuliko nchi yoyote ile duniani.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…