Acha uongo na upunguani..Magufuli hahitaji CCM , ni CCM ndo ina muhitaji Magufuli, Magufuli hata akihamia chauma akampisha membe ccm na membe akaungana na wana cecm wote bado Magufuli atawashinda , huyu jamaa utendaji wake una mbeba sana mazuri ni mengi kuliko mabaya
Dah sijawahi ona mtu hampendi Jiwe kama wewe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hafikirii hata kutoka madarakaniKazi iliyo mbele ya Membe ni moja tu basi! KUCHUKUA FOMU mengine atuachie sisi Magwiji na Makungwi!
Hatuwezi kuacha nchi iongozwe na mtu ambaye akilala akiamka alichoota jana usiku ndiyo policy ya nchi leo!
We deserve better!!!
Hahaha babu upo ?Watakuwa wanaosha loboko zao baada ya kukupakua kinyesi.
JASUSI MBOMBEZI BENARD MEMBE
Twitter kuna watu wanamnanga jamaa hadi huwa namwonea huruma .Hujaenda Twitter Mkuu. Unampendaje mtu mwenye tabia za Bokassa, Mobutu, Mugabe na Idi Amin? [emoji15]
My friend,Iam just a free creature who is free to speakout her mind.Kwani umesahau Shibuda alitangaza kugombea mwaka 2010?Shibudalization bado ipo na itaendelea kuwepo.
CCM imejaa manafiki mno.Kaamua kupambana na bugirichato mpaka kieleweke. Itakuwa patashika nguo kuchanika ila nahofia huu mwezi kama utaisha kabla hajafutiwa uanachama na kufukuzwa ccm.
Je, hili likitokea wanaomuunga mkono BCM ndani ya ccm wataamua kupambana na bugirichato na kundi lake la wahuni na vikaragosi vyake?
[emoji897] [emoji897]
CCM Kanda ya ziwa lazima wataunda chama chao kipya hivi karibuniWatanzania siyo wasahaulifu
1. Wamelia sana vyuma kukaza
2.Wakalia sana uonevu wa nyumba uliofanyika mbezi-Kimara huku wale wa mwanza wakaambiwa nyinyi msivunjiwe
3.Wakalia sana sheria ya bodi ya mikopo ya 15%
4.Leo hadi taulo za wanawake zinakatwa kodi
5. Wana Kagera wakaambiwa "Wanataka hela sababu ya tetemeko kwani serikali ndiyo iliyoleta tetemeko"
6.Watanzania wamenyang'anywa Bunge LIVE leo imegeuka IKULU live
7. Watanzania wanakumbuka vizuri kuwa nyongeza za mishahara ya wafanyakazi zilizopo kwa mujibu wa sheria hazipo
8.Watanzania wana kumbukumbu nzuri ya manunuzi ya wanasiasa na kuwatia gharama kurudia chaguzi
9. Wakulima wa korosho wana kumbukumbu nzuri sana walichotendwa
10. Wa mikoa ya kaskazini hawawezi kusahau kauli waliyoambiwa kuwa miaka yote ilikuwa wao tu wangoje na wengine wafaidi
11. Vijana wanaomaliza vyo vikuu utawaambia nini, mwaka wa nne huu ajira za manati
12. Watanzania wapenda ustaarabu wanaona jinsi Wanasiasa akina Lema, Sugu, Mdee, Mbowe, walivyonyanyaswa, kesi zenye dhamana hawapewi dhamana etc
13. Watu wana kumbukumbu nzuri tu ya ripoti za CAG na trilion 2.4 amabzo maelezo yake yamepinda
14. Watanzania Hawajamsahau Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na wengine
15. Wana Singida hawatopata Shida kumlilia kijana wao Tundu Lissu, iliwauma, inawauma na itaendelea kuwauma
16. Binti Akwilina aliliza wengi, aliumiza wengi
17. Unafikiri Watanzania wamesahau nyodo za Mwanamfalme wa Dar, Dharau zake, kudekezwa kwake, Wanasubiri tu moto uchanganye wafanye maamuzi ya ghadhabu hapo 2020
18. Asidhani tumesahau Trilion 2.4 hazina maelezo yaliyonyooka zimekwenda wapi
19. WanaYanga wanamkumbuka Maji wao, Wana Simba walimlilia sana Mo kwa wiki mbili
20. Wauza mbaazi hawajasahau old good days
21. Watanzania bado wanakumbukumbu nzuri za Magazeti ya zamani yenye uchambuzi bila hofu, wanasikitishwa na magazeti yaliyojaa uoga leo
22. Watanzanai watasahau vipi kwa mfano walipokunywa chai bila sukari kwa uhaba wa sukari mwaka 2016?
23. Wazazi wa watoto waliopata ujauzito shuleni waliumia sana kuambiwa kuwa "sisomeshi wazazi"
24. Na wastaafu wanaosumbuliwa nenda rudi, mafao yao hakuna lakini kuna hela zakujenga uwanja wa ndege Chato huzuni yao haipimiki
25. Unafikiri wamachinga wanapenda kulimwa 20000 ya vitambulisho, tena kwa tozo ambayo haijaidhinishwa na bunge?
Kwa hakika
1. Mikoa ya Kusini atapata tabu sana
2.Mikoa ya kaskazini ndiyo kabisaaa
3. Mkoa wa Singida kwa brother Lissu ndo asahau kabisa
4. Dar es salaam ya waelewa wanahitaji mtu jasiri tu wa kusema nam'goa
5. Mbeya ndo asahau
6. Kule kwa Ruyagwa Zitto huko ni waelewa sana
7. Kagera huko bora asahau bado kumbukumbu ya Tetemeko ingali hai
Atabaki na Mwanza na Nyanda za juu Kaskazini, na shinyanga na Geita, kwenda Katavi, Dodoma na Kidogo Pwani
Membe akichukua fomu patachimbika!
Tuombe uzima tu. July 2020 siyo mbali.Ila Membe si Shibuda mrembo, unalijua hilo fika.
kweli aisee!Hawa wanarukaruka tu ila mwakani atakayepeperusha bendera ya CCM si mwingibe bali ni John PJ Magufuli (PhD). Bahati nzuri/mbaya hata hao akina Membe wanalijua hili vizuri sana. Wana CCM ni wanafiki kupita maelezo (Musiba was spot one for once..). Utashanga haohao akina Membe, January, Nape, Mwigulu, Makamba etc wapo ndani ya kampeni team.
Siasa waachieni wana siasa na nendeni mkafanye yenu kwa manufaa yenu na familia zenu.
Labda aje kwenu sio ccmAll the best ndugu yetu Membe
Labda aje kwenu sio ccm
Hakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020
Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm
Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko
Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar
Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora
Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga