Upepo wa Membe mtaani usipime

Mkuu hizi pumba za bata ama kuku
 
Aje membe au nani sisiemu ni ile ile hakuna jpya
Membe kaisha tangaza Leo hadharani kuwa ataomba ridhaa ndani ya chama chake ateuliwe kuwa mgombea urais ,bila kumung'unya maneno na thread ya kutoka taarifa niliileta mapema humu Leo mods wakafanya yao .Membe kaisha srma ataomba ridhaa kumuachia rais aliyepo madaraka ni desturi nasio sheria wala kanuni za ccm hivyo atagombea ,mambo ni moto twende na membe 2020 .
 
Acha kabisa Mkuu hili likitokea la Bugirichato kupigwa chini furaha itakayokuwepo nchi nzima itakuwa haina mfano.

Watanzania wengi watalia machozi ya furaha na wengine waliothiriwa na huyo dhalimu kwa namna mbali mbali yatakuwa machozi ya huzuni.

Kwangu yatakua machozi ya furaha mkuu
 
Acha kabisa Mkuu hili likitokea la Bugirichato kupigwa chini furaha itakayokuwepo nchi nzima itakuwa haina mfano.

Watanzania wengi watalia machozi ya furaha na wengine waliothiriwa na huyo dhalimu kwa namna mbali mbali yatakuwa machozi ya huzuni.

Dah sijawahi ona mtu hampendi Jiwe kama wewe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magufuli hahitaji CCM , ni CCM ndo ina muhitaji Magufuli, Magufuli hata akihamia chauma akampisha membe ccm na membe akaungana na wana cecm wote bado Magufuli atawashinda , huyu jamaa utendaji wake una mbeba sana mazuri ni mengi kuliko mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…