agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Nikupe siri mmoja ambayo huwa hamjui siku zote wanawake. Mwanamke ukitaka kuishi kwa raha na kwa amani siku zote kaa na mwanaume anayekupenda halafu uwe mwaminifu kwake. Sisi wanaume tukipenda huwa tunaficha udhaifu wote wa mwanamke na tunakuwa na huruma sana. Na pia huwa tunakuwa wawazi na hatuwezi kufanya jambo lolote bila kumshirikisha mwanamke. Ukisoma nyuzi humu.Unaweza kusema huyu mwanaume kalishwa limbwata mbona anapelekeshwa hivi na mwanamke. Kumbe ni upendo na huruma. Hilo mwanamke huwa halijui yeye anaona kama ni fursa ya kumuumiza mwanaume.Nimekuelewa vizuri mkuu na naelewa ilivyo ngumu kuwa kwa mahusiano na mwanaume nisiyempenda mimi mwenyewe ni shuhuda katika hili sababu Siweezi,
tatizo linakuja usiyempenda anakupenda kufa, unayempenda anakuzingua haeleweki..!!
Nakujaaaa chap kukumbushia😂😂😂Haitakuua njoo bwana
Utasemaje kupenda ni kazi ya mwanaume wakati binti anasema hawezi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume asiyempenda? "Siku hizi wanaume hatupendi tena tunatamani tu".Kupenda ni kazi ya mwanaume.
Ni nini umejua kunigusa moja kwa moja???Nikupe siri mmoja ambayo huwa hamjui siku zote wanawake. Mwanamke ukitaka kuishi kwa raha na kwa amani siku zote kaa na mwanaume anayekupenda halafu uwe mwaminifu kwake. Sisi wanaume tukipenda huwa tunaficha udhaifu wote wa mwanamke na tunakuwa na huruma sana. Na pia huwa tunakuwa wawazi na hatuwezi kufanya jambo lolote bila kumshirikisha mwanamke. Ukisoma nyuzi humu.Unaweza kusema huyu mwanaume kalishwa limbwata mbona anapelekeshwa hivi na mwanamke. Kumbe ni upendo na huruma. Hilo mwanamke huwa halijui yeye anaona kama ni fursa ya kumuumiza mwanaume.
Kupenda ni hisia na haidumu milele. Huyu unayemuona humpendi baada ya siku kupita unakutana naye unaanza kumpenda. BAHATI MBAYA KWA SASA WANAUME WENYE UPENDO WA DHATI WANAZIDI KUPUNGUA KWA KASI YA 4G KWASABABU YA MASAHIBU WANAYOKUTANA NAYO. KATI YA WANAUME 100 WENYE TRUE LOVE UTAWAKUTA 4 AU 2 NDIYO MAANA TANGU UMEANZA KUWAKUBALIA UNAOWAPENDA WANAKULA NA KUSEPA.
Mimi mwenye nilimpenda sana mwanamke mmoja akanizingua. Sasa hivi nina roho ngumu sana kuhusu wanawake. Mwanamke akisema tuachane huwa nashangilia sana (Najua navuta mwanamke mpya). Nikiona haundani na issue zangu nakula nasepa. Mimi nilikuwa kati ya wanaume wenye upendo sana ila kwasasa sijui kupenda. Huwa napita Facebook nakutana na maneno ya wanawake wanasema "wanaume wote ni mbwa" Najua huyo tayari kaachiwa kovu moyoni
Nikuambie kitu, Kuna yule mtu anakuja anaongea kila aina ya neno na unamuona kabisa yupo real ila unaona kabisa hata hisia za kudanganyia kumpenda huna, Hivi unaanzaje kuwa naye??Utasemaje kupenda ni kazi ya mwanaume wakati binti anasema hawezi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume asiyempenda? "Siku hizi wanaume hatupendi tena tunatamani tu".
Ni wewe unatamani! wenzio wanapendaUtasemaje kupenda ni kazi ya mwanaume wakati binti anasema hawezi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume asiyempenda? "Siku hizi wanaume hatupendi tena tunatamani tu".
tena siyo kitoto, Ni kupenda haswa! Kuna wanaume wanajua kupenda mpaka unadhani wanatoka sayari nyingine.!!Ni wewe unatamani! wenzio wanapenda
Acha bwana.tena siyo kitoto, Ni kupenda haswa! Kuna wanaume wanajua kupenda mpaka unadhani wanatoka sayari nyingine.!!
Hao wanaopenda ni 1% kati 99% ya wanaume wote.Ni wewe unatamani! wenzio wanapenda
Nimetoa tu mfano hai, hiyo ndoto nahisi itakata nikiamka.!!Acha bwana.
Eeeh ebu tuambie ulivyopendwa mwenzetu
Oouh...sawa sawa.Nimetoa tu mfano hai, hiyo ndoto nahisi itakata nikiamka.!!
Chagua kilichobora na chenye thamani. Moyo na hisia vinadanganya sana zaidi ya sana ukivifuata. Ukitumia moyo na hisia utabaki unateseka miaka yote mpaka unaingia uzeeni bado unateseka. Mfano ukijaribu kutoa suluhisho la tatizo lolote kwa kutumia moyo na hisia, utakuwa umeenda chaka 78% .Ni nini umejua kunigusa moja kwa moja???
Umeongea ukweli ulonigusa hadi mtimani, Me nakubali wapo wanaume wanajua kupenda na kujali hasa yaani hasa, mfano unaumwa unayempenda hawezi hata kukujulia khali halafu anayekupenda humpendi ndo anayehakikisha hospital umekwenda na matibabu umepata.!!
Life will never be fair in love and war..!!
Kupenda ni kazi ya mwanaume.
[/QUOTE
KABISA! WENGI HAWALIJUI HILI. KUPENDA NI JUKUMU LA MWANAUME. mwanangu lazima lazima nimfundishe hili. Kwamba mwanamke lazima aolewe na mwanamume anayempenda na siye yeye kumpenda kwanza. Kwani upendo wa mwanamke unakua kwa kadri ya mapenzi anayoyapata toka kwa mumewa. Fuateni hii kanuni wadogo zangu wa kike hamtafeli kamwe
Shukrani sana, Nimeyaelewa mno haya madini.!!Chagua kilichobora na chenye thamani. Moyo na hisia vinadanganya sana zaidi ya sana ukivifuata. Ukitumia moyo na hisia utabaki unateseka miaka yote mpaka unaingia uzeeni bado unateseka. Mfano ukijaribu kutoa suluhisho la tatizo lolote kwa kutumia moyo na hisia, utakuwa umeenda chaka 78% .
Tumia Akili 98%, Moyo 1% na Hisia 1%. Utafurahia mapenzi. Bila kutumia akili kwenye mapenzi ni sawa na kazi bure.
We got a real long and hard way to go.!! Nikipenda mkaka huwa sifanyi ujinga hata kwa dawa, Ila kinachotokea ni unafanya the best na mtu ha appreciate wala haoni.!Mwanamke hufurahia sana kuishi na mwanaume anayempenda. Soma post za SweetieLee vizuri. Ukiishi na mwanamke asiyekupenda hata umpende vipi lazima akuache au achepuke na mtu anayempenda.
Rafiki wa kweli ni yule aliyeko na wewe kwenye shida na raha. Ambatana na rafiki ambaye yupo na wewe kwenye raha halafu siku ukiwa na shida unakomaa pekee yako. Ukiwa kwenye raha unamuona tena anakuja unaanza tena kuponda naye raha.Shukrani sana, Nimeyaelewa mno haya madini.!!