mbeya kuna baridi kaliii, upepo mkali haswa bila kusau vuumbi la kufa mtu.. njian watu wanashinda wanakenua meno tu, vichwani vumbi kam wamepaka blich...
Huu upepo tayari umepiga robo tatu ya nchi. Nimekatisha katisha mikoa kadhaa tangu Jumatano wiki hii naona kuna upepo wa ajabu ajabu tokea magharibi kabisa mwa nchi hadi huku mashariki na kusini