Nipo Gongo la mboto Tanesco walishachukua hatua mapema lakini naona wametuhurumia wamerudisha mzigo, ila hiyo miale na mingurumo inatisha hatari, mvua imekatika ni mingurumo tu sasa..........ila pamoja na mingurumo na radi sijatishika nimevuna maji ya kutosha wife kajikunyata ndani.