Dearany bahati
Member
- Aug 1, 2022
- 41
- 86
Pole Sana kijanaIvi kwa mfano umeingia kwenye mahusiano na mwana mke miaka 2 ukampa ujauzito ukamua kumuoa tena kwa ndoa ya kanisani baada ya wiki unagundua kua ni mathilika wa ukimwi na ww hujaathirika unachukua maamuzi gani View attachment 2721954
Unamuacha ni mjinga tu ndiye ataendeleanaye...kuendelea ni ujinga na kujiua mwenyewe na hata Mungu atakuhukumu.
Utamtafutia HIV positive mwenzie
Wew unafany nnPole Sana kijana
Kipi sahihi kumuacha au kumpendaHii ngumu kwakweli
Mimi nakushauri umuache....ila tu hakikisha mtoto anazaliwa salama na umlee vizuri,, halafu kwanini hamkupima kabla ya kuanza kufanya mapenzi??🤔🤔Kipi sahihi kumuacha au kumpenda
Imagine alikua muathirika toka kitambo na hakukwambia mpaka umemuoaSeen patients like these and Niliwasidia dna test . Simple tu . Mke Alipata umeme , alicheat after few months Akiwa mbali kikazi ,akamwambia mume wake tu kumuokoa maana they had 3 children . they are good . Ila mtoto alikuwa sio wake mmoja. Ila wanalea familia maana mke alimuokoa mume . Angemuua Kama angekuwa na plan hiyo .
Aaah unaweza kua uaminifu tyuMimi nakushauri umuache....ila tu hakikisha mtoto anazaliwa salama na umlee vizuri,, halafu kwanini hamkupima kabla ya kuanza kufanya mapenzi??
Toa wazo lakoNasoma comment kwakweli ni huzuni
Nina worse stories siku nikiwa sawa nitasema . Ila women are snakes so are some men . Hasa nurses they can cheat results kisa ndoaImagine alikua muathirika toka kitambo na hakukwambia mpaka umemuoa
Yeye hiv+ ameshakufa? Sema angemuambukiza.Seen patients like these and Niliwasidia dna test . Simple tu . Mke Alipata umeme , alicheat after few months Akiwa mbali kikazi ,akamwambia mume wake tu kumuokoa maana they had 3 children . they are good . Ila mtoto alikuwa sio wake mmoja. Ila wanalea familia maana mke alimuokoa mume . Angemuua Kama angekuwa na plan hiyo .
Baada ya muda ganinavunja ndoa nigawane nae mali
Mmh hawajafaYeye hiv+ ameshakufa? Sema angemuambukiza.
sijui kwanini tunawabrand hiv + kama tayari weshakufa ilihali watu kibao -ve wanakufa wanawaacha.
chap baada ya kupokea taarifa za REABaada ya muda gani