SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,282
- 10,043
unazungumzia uendo upi?Humu jf mtag mtu umpendae ili aje ashuhudie upendo wako kwake.
swali zuri sanaunazungumzia uendo upi?
Mpwa umechoka kuwa na amani?Mupenzi wangu Seran kam hiya.
ungeanza kwa kutoa mfano kwa kumtag huyo umpendayeHumu jf mtag mtu umpendae ili aje ashuhudie upendo wako kwake.
Ninapendana na huyu bibie hadi basi aisee!Mpwa umechoka kuwa na amani?
Basi acha tumpende woteNinapendana na huyu bibie hadi basi aisee!
Mpo kwenye mitala wakuu.Basi acha tumpende wote
Tambua kuwa penzi haligawanyiki. Basi fanya hivi! Shika mapembe Mimi nitakuwa ninakamua 😎Basi acha tumpende wote
Wewe huwezi kumpataMe Sidhani kama yupo...nalia Mwenyewe
Ni kutafunwa mpaka mifupa🙆🏽♀️Seran kipenzi mimi sio kama wanaume wengine... Nakupenda wewe pamoja na shoga zako wote😍😍View attachment 3681739
Na hata sitaki kumpata... Acha nilie we mpaka the end kichwaaa kinauma hapa EnyeweWewe huwezi kumpata
Weweungeanza kwa kutoa mfano kwa kumtag huyo umpendaye