"Upendo wa kudumu" ( nilimuonea?)

Huyo ni mke Wangu. NANI kakupa ruhusa ya kumuanika humu?
Kijana nitakupoteza
 
Kwanini umeweka picha ya mdada wa watu, je kama mume yuko hapa jamani si tayari ushamuharibia mwenzio lkn????Hukuwa na haja ya kumuweka hapa watu hawakawii kuchukua story kama ilivyo na picha vikazunguka mitandaoni weeee mwisho wa siku maumivu kwa mwenzako
 
...anakuandikia hayo akiwa ndani ya Ndoa na ni Mke wa Mtu??
Hata ungemuoaa wewe si ajabu angemuandikia mchepuko mwingine hivyo.
.....changanya na za kwako!!!
 
Ila angekuwa ni huyo kweny picha usingemkataa ila nenda kale papuchi ya bure mkuu maisha yenyewe ndo hayahaya
 
Nimeelewa...nisaidie namna ya kuitoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…