God knows
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 276
- 173
Mwanaume utanashati bwana, na baadhi ya gadgets ambazo mwanaume yeyote anayethamini mwonekano wake wa nje anatakiwa kuwa nazo ni saa na simu.
Binafsi nathamini na napenda nionekane unique and premium. Nitakula hata nyasi ili nihakikishe Napata kitu roho inapenda. Sijui ni addiction au nini, ila kuna muda nikiwa sina simu (labda imeibiwa kwa mfano), najisikia homa. Kurudi kwenye kitochi kwa sababu sina hela haijawahi kuwa option kwangu na nitahangaika mpaka niipate simu nyingine ya gharama ile ile au ya juu Zaidi ya ile.
Back to topic
Niliacha kutumia simu za Android 2014. Nilikuwa nakasirishwa sana na hii kitu “Unfortunately, XXXXXX has stopped.” Crushing ya apps ilikuwa inatokea mara nyingi sana hadi nikaapa kuhama na kutokurudi tena android.
Swali likaja, nihamie wapi?
Blackberry? Hapana. Sijawahi kuipenda simu hii Maisha yangu yote.
iPhone naipenda ila kiwango changu cha kipato kwa miaka ile kilikuwa kidogo sana. Nilitakiwa niwekeze hela kwa miezi sio chini ya minne ili niweze kununua iPhone mpya. Uvumilivu ungenishinda.
Windows Phone? Perfect. Bei ilikuwa inaruhusu. Angalau nilikuwa na uwezo wa kuspend TZS 600,000 na nikapata simu nzuri ambayo haicrash apps, performance nzuri na mwonekano premium, huku moyoni nikijisemea kwamba, kipato kikiongezeka nitahamia iPhone na nitabaki huko milele. Simu kama hii:
Microsoft walikuwa wananivuruga kwa sababu walikuwa wanatoa simu mpya kila mwaka which looks better than the previous. Ili kwenda nao sawa, I had to buy every new model whenever it is released and sell the previous one.
Nilivunjika moyo baada ya kusikia Microsoft kaacha kutoa simu mpya za Lumia. Simu ya mwisho kuitoa ilikuwa Microsoft Lumia 650 iliyotoka Feb, 2016 na mimi ndio niliyonunua na kuitumia kwa mara ya mwisho. Nilipata maumivu kama vile nimeachwa. 🙁🙁🙁🙁🙁
So I was like, is it the end of Lumia? Is Nokia no longer?
Muda huu nimepata ahueni baada ya kuona Nokia wamerudi tena sokoni (vitochi + smartphone).
Wamerudi na smartphones zikiwa na android. Siipendi android ila I had to buy one for the love I had for Microsoft Lumia.
Washatoa matoleo mengi ya smartphones kama Nokia 3, 5, 6 na muda huu wanaitangaza Nokia 8. Sizioni madukani hapa Tanzania, sijui kwa nini?
Niliagiza hii niliyonayo hapa mkononi (Nokia 6) kutoka nje ya Tanzania na ilinifikia kama mwezi mmoja uliopita kwa gharama ya TZS 650,000. Kama wiki moja mbele, nikaja kuiona Jumia ikiwa inauzwa 1.2M. Ilikuja ikiwa na earphones zile zile za nokia, usb cable na charger yake kama unavyoona hapo chini.
Quick specs zake ni hizi:
Snapdragon 430 (Octa Core, Cortex A-53)
3 GB RAM
5.5” 1080p IPS LCD Screen
Adreno 505 GPU
32 GB Internal Storage
Dual Sim / Hybrid MicroSD Card Slot
16 MP Rear / 8 MP Front Camera Auto Focus
3000 mAh Battery
Fingerprint Scanner / NFC / Dolby Atmos
It looks premium when you hold it.
Ikichajiwa, inakaa na charge all day long. Yaani unaweza kuichaji usiku, ukaja nayo kazini, ukatumia siku nzima na ukarudi nayo nyumbani ikiwa haijazima.
What I hate: haina fast charging. Inatumia like 2 hrs to get fully charged.
Karibuni kwa majadiliano.