Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 913
- 547
- Thread starter
- #41
Unajua nilichouliza au kuzungumzia mimi si mahusiano bali ni upendo. Kuna tofauti kati ya upendo na mahusiano japo kwa ilivyowengi wetu tukisikia upendo au mapenzi basi akili zetu automatic zinaenda kwa mahusiano.. So unavyosema upendo ni kugegeda unakuwa unachanganya mahusiano na upendo... Embu jaribu kutofautisha hapo kwa kina....Mbona unajichanganya sasa, utamlindaje unayempenda bila gegedo...akitoka nje ya ndoa kwa kukosa gegedo je?