Waweza kutoa bila kupenda,lakini kamwe huwezi kupenda bila kutoa. Upendo hauhesabu chochote kizuri au kibaya,upendo upo tu huvumilia yote na kukubali yote.Watu wengi wamekuwa wakilalamikia returning ya kile wanachokitoa kwa wenzi wao. wengi wanaoongoza kulalamika ni wanaume. Utakuta mwanaume anademand kupendwa kwa sababu tu anaoffer nguo, vinywaji, outing n.k. Kwa kuoffer hivyo wanaume wanahisi wanayo haki ya kunyenyekewa na wengine huenda mbali zaidi kwa kutaka kuabudiwa.
Kitu pekee ambacho wanaume wanapaswa kujua ni kuwa upendo ni kutoa na kutoa kuliko thabiti ni kule kunakofanywa na mtu bila kutegemea chochote kama malipo ya alichokitoa. ikiwa wanaume wataishi kwa mawazo haya hakutakuwa na kulia lia kwenye mitandao.
Kwa wakristo tutakubaliana kuwa YESU alikuja kufa kwa ajili ya wenye dhambi. Kilichomsukuma Yesu kufa ni upendo wenye tafsiri ya kutoa, hakusubiri returning ya kile alichokifanya. Mara baada kukamilisha mission yake akasepa zake. Ishu ikabaki kwetu ukitaka utampenda ukitaka unampuuza pia.
Ikiwa tutaamua kupenda bila sababu na kutotegemea returning kwa upendo tulioutoa kwa wenzi wetu. Chochote kilicho kidogo watakachotupatia kitakuwa na maana kubwa kwani kimetolewa bili sisi kukidemand
Exactly na una feel good kutoa. unafeel like ni jukumu lako. Tatizo ni pale mtu unaye mpenda unaona kabisa amegeuka kuwa mjasiriamali, yaaninyeye amekugeuza saccos, wazi wazi bila aibu usipomtimizia unaona ananuna,gubu, mapenzi yanapungua , unaona kabisa mwanamke uliyekutana nae mara ya kwanza amebadilika.Watu wengi wamekuwa wakilalamikia returning ya kile wanachokitoa kwa wenzi wao. wengi wanaoongoza kulalamika ni wanaume. Utakuta mwanaume anademand kupendwa kwa sababu tu anaoffer nguo, vinywaji, outing n.k. Kwa kuoffer hivyo wanaume wanahisi wanayo haki ya kunyenyekewa na wengine huenda mbali zaidi kwa kutaka kuabudiwa.
Kitu pekee ambacho wanaume wanapaswa kujua ni kuwa upendo ni kutoa na kutoa kuliko thabiti ni kule kunakofanywa na mtu bila kutegemea chochote kama malipo ya alichokitoa. ikiwa wanaume wataishi kwa mawazo haya hakutakuwa na kulia lia kwenye mitandao.
Kwa wakristo tutakubaliana kuwa YESU alikuja kufa kwa ajili ya wenye dhambi. Kilichomsukuma Yesu kufa ni upendo wenye tafsiri ya kutoa, hakusubiri returning ya kile alichokifanya. Mara baada kukamilisha mission yake akasepa zake. Ishu ikabaki kwetu ukitaka utampenda ukitaka unampuuza pia.
Ikiwa tutaamua kupenda bila sababu na kutotegemea returning kwa upendo tulioutoa kwa wenzi wetu. Chochote kilicho kidogo watakachotupatia kitakuwa na maana kubwa kwani kimetolewa bili sisi kukidemand
Shikamoo baba angu mieUpendo ni kusalimisha kila kilichochako kwa unayempenda.
Upo tayari ufe mama apone? upo tayari upoteze mdogo wako apate? kwangu huo ndiyo upendo.
upo tayari udhalilike ila sio mkeo au mwanao? kwangu huo ndiyo upendo.
marahaba mwanangu... za uzima.. mie wanipenda upendo gani?Shikamoo baba angu mie
Nakupenda baba angu upendo wa baba na mwanae nikose mm baba angu upate nikuone mda wote uko na furahamarahaba mwanangu... za uzima.. mie wanipenda upendo gani?
hewaala.... sema utakachoNakupenda baba angu upendo wa baba na mwanae nikose mm baba angu upate nikuone mda wote uko na furaha
Naomba mahela baba angu mpenzi nakupenda mmhewaala.... sema utakacho
Vipihewaala.... sema utakacho
natuma wapi sasaNaomba mahela baba angu mpenzi nakupenda mm
ngoja niulize pia siuoni.Vipi
Mbona uzi umeondolewa tena ulee
Uzi wako umefutwa?Upendo ni kusalimisha kila kilichochako kwa unayempenda.
Upo tayari ufe mama apone? upo tayari upoteze mdogo wako apate? kwangu huo ndiyo upendo.
upo tayari udhalilike ila sio mkeo au mwanao? kwangu huo ndiyo upendo.
wewe umefuta uzi wangu. urudishe haraka kabla sijageukaUzi wako umefutwa?
Hahahahaha nimeshindwa kujitolea ban kule ban hahawewe umefuta uzi wangu. urudishe haraka kabla sijageuka
Yaani haujachukua hata dk 10. ulipigwa ban kisa?Hahahahaha nimeshindwa kujitolea ban kule ban haha
Na mie nimeshangaa wamehama na comment yanguπ±π±ngoja niulize pia siuoni.