Upendo Msuya wa Channel Ten

Haaahaahaa🙂 Mkuu Tea Bag unataka mdada wa kipare akukunywe kama chai????

Mkuu SURUMA, huyu mdada nampenda, kwani ameolewa? nisaidie nampataje, contact tosha.
 
Mbona rahisi tu zama fb umsake, usitake ubwete sana.
 
wakuu wa jf mwashindwa kunisaidia kwa hili???
 
Njia kuu ya mwenzako kwako mchepuko.
Baki njia kuu mchepuko co dili.
 
sawa mkuu nimekuelewa lakini nampeda huo ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…