Upendo: Mapenzi ni Sadaka

Upendo: Mapenzi ni Sadaka

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
19,149
Reaction score
43,090
Brother/Sister Acha kuchezea sadaka za watu

:Ni sadaka ya Muda
:Ni sadaka ya Nguvu
:Ni sadaka ya Fedha
:Ni sadaka ya Damu
:Ni sadaka ya Akili na Hisia

:Usichokifahamu ni kwamba kila mwanamke ni mzuri,
Mbele ya mwanaume sahihi,na kila mwanaume anavutia na kuaminika ndani ya moyo wa mwanamke sahihi.
Unaweza kua unajisifia,kua una mwanamke mzuri sana kumbe ni macho yako tu kwakua umependa,lakini kwenye macho ya wengine
Ni mwanamke wa kawaida tu.

USITHUBUTU
:Kujifungia ndani ya mikataba ya maneno na watu ambao,dhahiri unatambua moyoni mwako huhitaji kufungamana nao,

Usifanye hivyo ukifikiri ni maneno tu...
Brother maneno yana nguvu kubwa,maana maneno yana nguvu kwa kuhuishwa na roho itiayo uzima kila neno,au kutia mauti kila neno,
Kwanini ujiingize katika gereza la kufungwa na kukamatwa kwa maneno ya kinywa chako mwenyewe

:Kwanini utumie kinywa chako,kumuaminisha mwanamke ambaye humpendi na kumwambia afungue moyo wake ili ayaingize hayo maneno yako ambayo ndani yake kutakua na uongo???kwanini brother.

Kwanini unajiundia vilaana vidogo vidogo ambavyo,vitakusumbua kwenye safari..yako..
Maana unakula nguvu za huyu binti ambaye anakubeba kwenye moyo wake.

Unakula muda wake huyu mwanamke.
Unakula na kuharibu uwekezaji wake maana anaamini amewekeza hisia mahali sahihi kumbe amefungia tapeli la mapenzi ndani ya moyp wake...brother acha hayo masikhara na maisha ya mwanamke

:Binti mwanaume anayekuletea maneno yake,yakutaka kukuingiza kwenye mkataba wa kihisia za kimapenzi....

kama humwoni moyoni mwako na kwenye maisha kamwe usiruhusu kukitumia kinywa chako kumwambia nakupenda pia...maana
itafanya akufungulie ndani ya moyo wake,maneno yako hayo ni kifungo tayari.

Ni kosa kubwa kisheria rohoni,kumfanya mtu aendelee kutumia jasho lake,nguvu zake ,pesa zake na muda wake....
Huku wewe unajua fika humpendi na unaendelea kumwaminisha mpo pamoja.
unazidi kujibebea vilaana vidogo vidogo ambavyo wakati mwingine vinaweza kugharimu hata uhai wako na kuua hatima yako.

Mapenzi ni sadaka
>Sadaka ya muda acha kuchezea sadaka ya watu huwezi kuilipa kwa kiwango cha jinsi alivyojitolea....kwako ni hatari.

>Sadaka ya fedha acha kuchezea fedha usizostahili,hata Kama ni kidogo usipate jeuri ya kusema nitakurejeshea visenti vyako,maana haitakaa ukaitoa kwake kwa nguvu ileile ya upendo aliosukumwa nao...hilo ni deni utalilipa mahali pengine.

>Sadaka ya nguvu kuna vijana wanapiga makazi magumu,wanabeba mazege,ni vibega ni saidia fundi huko katika harakati zao...wanatoa nguvu zao Kama sadaka kwako na wewe unachezea sadaka hizo hujui zimebeba machungu,jasho,maumivu kwajili yako...huoni utakua umeambatana na mavitu ya ajabu namna hio...
Unakimbilia kwa mtu umpendae akuoe na huku una madeni hayo...mwishowe unakosa hata uzao unahangaika kwa manabii kumbe ni upuuzi wako,unakula ulichopanda.
Aah
 
Brother/Sister Acha kuchezea sadaka za watu

:Ni sadaka ya Muda
:Ni sadaka ya Nguvu
:Ni sadaka ya Fedha
:Ni sadaka ya Damu
:Ni sadaka ya Akili na Hisia

:Usichokifahamu ni kwamba kila mwanamke ni mzuri,
Mbele ya mwanaume sahihi,na kila mwanaume anavutia na kuaminika ndani ya moyo wa mwanamke sahihi.
Unaweza kua unajisifia,kua una mwanamke mzuri sana kumbe ni macho yako tu kwakua umependa,lakini kwenye macho ya wengine
Ni mwanamke wa kawaida tu.

USITHUBUTU
:Kujifungia ndani ya mikataba ya maneno na watu ambao,dhahiri unatambua moyoni mwako huhitaji kufungamana nao,

Usifanye hivyo ukifikiri ni maneno tu...
Brother maneno yana nguvu kubwa,maana maneno yana nguvu kwa kuhuishwa na roho itiayo uzima kila neno,au kutia mauti kila neno,
Kwanini ujiingize katika gereza la kufungwa na kukamatwa kwa maneno ya kinywa chako mwenyewe

:Kwanini utumie kinywa chako,kumuaminisha mwanamke ambaye humpendi na kumwambia afungue moyo wake ili ayaingize hayo maneno yako ambayo ndani yake kutakua na uongo???kwanini brother.

Kwanini unajiundia vilaana vidogo vidogo ambavyo,vitakusumbua kwenye safari..yako..
Maana unakula nguvu za huyu binti ambaye anakubeba kwenye moyo wake.

Unakula muda wake huyu mwanamke.
Unakula na kuharibu uwekezaji wake maana anaamini amewekeza hisia mahali sahihi kumbe amefungia tapeli la mapenzi ndani ya moyp wake...brother acha hayo masikhara na maisha ya mwanamke

:Binti mwanaume anayekuletea maneno yake,yakutaka kukuingiza kwenye mkataba wa kihisia za kimapenzi....

kama humwoni moyoni mwako na kwenye maisha kamwe usiruhusu kukitumia kinywa chako kumwambia nakupenda pia...maana
itafanya akufungulie ndani ya moyo wake,maneno yako hayo ni kifungo tayari.

Ni kosa kubwa kisheria rohoni,kumfanya mtu aendelee kutumia jasho lake,nguvu zake ,pesa zake na muda wake....
Huku wewe unajua fika humpendi na unaendelea kumwaminisha mpo pamoja.
unazidi kujibebea vilaana vidogo vidogo ambavyo wakati mwingine vinaweza kugharimu hata uhai wako na kuua hatima yako.

Mapenzi ni sadaka

Unakimbilia kwa mtu umpendae akuoe na huku una madeni hayo...mwishowe unakosa hata uzao unahangaika kwa manabii kumbe ni upuuzi wako,unakula ulichopanda.
Aah
:Ni sadaka ya Muda
:Ni sadaka ya Nguvu
:Ni sadaka ya Fedha
:Ni sadaka ya Damu
:Ni sadaka ya Akili na Hisia
 
:Ni sadaka ya Muda
:Ni sadaka ya Nguvu
:Ni sadaka ya Fedha
:Ni sadaka ya Damu
:Ni sadaka ya Akili na Hisia
😃😃😃
Watu wanatoa nguvu zao, muda wao, fedha zao, akili na hisia zao Kama sadaka kwako na wewe unachezea sadaka hizo hujui zimebeba machungu,jasho,maumivu kwa ajili yako...huoni utakua umeambatana na mavitu ya ajabu namna hio...
 
Back
Top Bottom