Upendo haumo katika maneno

kwakuwa tuko pamoja sasa tutatumia mabodigadi waliopo hapa nyumbani, sioni busara ya kuja na bodigadi ulietoka naye nyumbani.
acha abaki na wenzake kwa baba mkwe wangu.

nitamtafuta kesho tupitie mkataba tuliosign endapao utauvunja nachukua changu nasepa.
 
kwakuwa tuko pamoja sasa tutatumia mabodigadi waliopo hapa nyumbani, sioni busara ya kuja na bodigadi ulietoka naye nyumbani.
acha abaki na wenzake kwa baba mkwe wangu.

sawa mme wang me sina neno.
 
mapz ya aina hii mara nyingi huingia utumboni shogaangu kuwa macho na vidume vya jf vina kiona mbali cha karibu

nimekushauri tu hapa usijesema nime................
Nashukuru kwa ruhusa yako Mme, pia ningeomba tuende pamoja bado sitak kukuacha popote dia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…