ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Pole sana ladyfurahia. Baba V yeye huko aneisha pazoea nadhani amesha pata hata cheo cha unyampala
Cc.
Baba V
asante nashukuru bestito
baba v ana cheo kikubwa sana kule
yeye ni Mkurugenzi mtendaji wa Ban
Heaven on Earth na mwallu hebu njooni huku ladyfurahia kaja leo....
kisha tuongee... ladyfurahia nilikukosa sana, sihishi kufananisha nakila ninaekutana nae....karibu!
Heaven on Earth na mwallu hebu njooni huku ladyfurahia kaja leo....
kisha tuongee... ladyfurahia nilikukosa sana, sihishi kufananisha nakila ninaekutana nae....karibu!
umigusa sana na umenibariki mno, jana nilitaka kuanzisha ka sred ila kasimu kakanigomea.
Napenda sana nyimbo ya huyu kaka, albam nzima imesimama.
Ila huu unanibariki hadi naziona mbingu zikifunguka.
[jfmp3]View attachment 147585[/jfmp3]
View attachment 147585
ah! binamu furaha niliyokuwa nayo....binamu shhhh ndo nini kuniamsha na nilikuwa nimekumbatia shuka
hujui ukimwamsha alielala utalala wewe..
asante nashukuru bestito
baba v ana cheo kikubwa sana kule
yeye ni Mkurugenzi mtendaji wa Ban
ah! binamu furaha niliyokuwa nayo....
lakini binamu....
Inaonekana umemwacha huko akitumikia hicho cheo mbona ka kimya sana
lakin nini binamu
ladyfurahia, mamii surely nilikumiss sana! tena sana...! naomba unifungulie mlango japo kwa dk 30 tuongee vizuri..!
i really missed you my sweet friend-!
ladyfurahia kipindi unatumikia kifungo ni kama vile wote humu tulikua BANNED, uwepo wako nimuhimu sana.... Ila mimi nina wazo moja, yule aliekusababishia ungemsamehe 8x80 kiroho safi
ladyfurahia kipindi unatumikia kifungo ni kama vile wote humu tulikua BANNED, uwepo wako nimuhimu sana.... Ila mimi nina wazo moja, yule aliekusababishia ungemsamehe 8x80 kiroho safi