Upelelezi wazidi kukwamisha kesi ya Kitilya na wenzake

Upelelezi wazidi kukwamisha kesi ya Kitilya na wenzake

Hako kamis watakuwa vigogo walikagegeda kwanza alafu wakakapa bobge la deal kakaishia kuwa kaizi, dah....
Mkuu hilo dili ni la wakubwa sioi na huyo mdada hawana ushawishu mkubwa hivyo hadi wapige hela huku serikali haijui..... pesa imezunguka parefu hawa wanaweza kuwa wametumika kma PAWNS tu ila wahusika wakuu wanakula bata lumumba...... utakuja niambia kma watafungwa pamoja na mbwembwe zote hizi za UPELELEZI UNAENDELEA....
 
Sasa ulitaka avaaje kwenda mahakamani?? Yaani unakejeli tena hku unacheka kisa unajua anajisaidia kwenye ndoo !!! Mkuu yasikupate jela sio mahala salana awekwe wa ccm au chadema jela sio nzuri ssa kushabikia huku bado hujajua kma ni mhalifu or not sio maturity kabisa!!!

Anyway nape na masha walikuwa kma wwe ila sahvi wamenyooka
Hahaha Masha kaadhiriwa na chadema kwa kujitakia mwenyewe,huyo Sioi anajua anachofanya mkuu
 
DPP abadilike aonyeshe smartness ya taaluma yake. hii ya kushikilia watu kwa miaka halafu kila siku unasema upelelezi sijakamilisha hivi huko kanisani au msikitin unaendaga kuomba nini
 
Tatizo evidence zake zinagusa wengi sana,sasa sababu tuko kwenye utawala wa visasi na chuki itaishia kupigwa Dana Dana halafu kesi inafutwa.
Sio sab hiyo hilo tatizo la kukaa mahabusu huku upelelezi ukisuhiri kukamilika ni la miaka na miaka kwa mfano shkuba amekamatwa miaka minne iliyopita kapelekwa marekani juzi lulu kwenye kesi ya kanumba mpk leo haijaisha wengine wengi tu wana kesi za money laundering uhujumu uchumi na mauaji wana zaidi ya miaka minne mahabusu. Sio kila kitu unahusisha na utawala. Tumia akili hata kidogo tu wakati mwingine kwani kama wanajua kesi inawahusu kwanini wamkamate?
 
Wameshindwa kuwakamata majambazi ya escrow mnahangaika na watu.
 
wananchi tunataka kesi kama hizi zenye maslahi ya umma ziharakishwe tujue hatma yao, kwa nini zinacheleweshwa???!!!
hivi zina ugumu kiasi cha kucheleweshwa muda wote huo????!!!!

tunaomba vyombo vyetu vya kutoa haki vibadilike!!!!
 
Back
Top Bottom