UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Comment yako inastahili tunzo mkuuWape Ajira FBI wafanye hiyo kazi ww tulia utajipa presha tu
Njia gani nzuri ya intelligence ya kutumia kabla ya kuoa yaani kupeleleza ukoo hata familia nzima ya mchumba wako.Kuna ndugu yangu anataka kuoa ukoo flani upo mbali na anapoishi.Karibuni great thinkers
Kuna hawa wasopenda Mali ila wanagawa sana K ,, ukiwaoa nishida .Inategemeana na kabila. Kama ni demu la kichagga mtegeshee hela na mali, ukiona anashabikia sana kutaka kujuwa una akaunti ngapi, nyumba ngapi, huyo ni jinamizi la talaka.....piga chini mara moja. Hakuna mapenzi hapo.
Kwanza nikupongeze kwa kuwa smart, intelligence hapa ni ya muhimu sana. Utajua mengi sana kama ndiye au siye.Njia gani nzuri ya intelligence ya kutumia kabla ya kuoa yaani kupeleleza ukoo hata familia nzima ya mchumba wako.Kuna ndugu yangu anataka kuoa ukoo flani upo mbali na anapoishi.Karibuni great thinkers
Kama demu wa kihaya itakuaje mkuuInategemeana na kabila. Kama ni demu la kichagga mtegeshee hela na mali, ukiona anashabikia sana kutaka kujuwa una akaunti ngapi, nyumba ngapi, huyo ni jinamizi la talaka.....piga chini mara moja. Hakuna mapenzi hapo.
Wanakasumba ganiUsioe mzaramo na mhaya
Wahaya cyoKuna hawa wasopenda Mali ila wanagawa sana K ,, ukiwaoa nishida .