hicho ni kijipu uchungu. na huwa hukitumbui vizuri ukakitoa kichwa. ushauri wangu kama uko disturbing sana kwako kiasi kwamba huwez kuwa confortable basi meza cloxacilin utakauka kabisa. inawezekana pia ni mwili wenyewe kwamba umereact kama unanyolea mashine ya aina hiyo kila mara so jitahd upate hii dawa utapona