Upekuzi

Bint kafurahi kweli kupekuliwa na afande
 
mpekuziiiiiiiiiiiiiiiiii njoooooo huku uonee ndugu zakooooooooo wanavyo pekuaaaaaaaaa
 
Mseven anaishi kwa hofu sana. Bado kidogo ataanza kupekua chini ya makaburi ili ajihakikishie kuwa marehemu wamekufa kweli wasije rudi duniani kuongeza watu wa kumsumbua kwenye ulaji.
 
Whats funny about it,mpk wanafurahia?
 
Hawa wanakagua nn maeneo hayo ya hatari..Huu ni ubazazi
 
hiyo kazi kama wangempa Juan moses angeokota wengiiiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kibinti kinatamani Afande asimalize ukaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…