Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,142
- 5,664
hii ni kutokana na kihali ya hewa au hebu ni dadavulie kidogo mkuu nashukuru kwa bandiko zuri. Safari ya kupanda mlima huu ni kama kutoka kwenye Ikweta kwenda Antaktika.
Kadiri unavyopanda mlima huu utahisi badiliko la tabia Nchi, ukiwa chini utahisi hali ya Kiikweta ,hata uoto nao utaisadifu hali hiyo lakini ukifika juu utahisi hali ya maeneo baridi kabisa "temperate latitudes" hali hii inaweza kumfanya mtu kuhisi amehama eneo fulani lenye tabia fulani na kuingia eneo jingine kabisa.hii ni kutokana na kihali ya hewa au hebu ni dadavulie kidogo mkuu nashukuru kwa bandiko zuri
Asante sanaNgoja tusindize na picha.View attachment 1764923
okay nmekupata ndo nasikia kuna sehem ni nyasi fupi tuu zinasadifu hali ya kisavana kabisaaaaaaaaaaaKadiri unavyopanda mlima huu utahisi badiliko la tabia Nchi, ukiwa chini utahisi hali ya Kiikweta ,hata uoto nao utaisadifu hali hiyo lakini ukifika juu utahisi hali ya maeneo baridi kabisa "temperate latitudes" hali hii inaweza kumfanya mtu kuhisi amehama eneo fulani lenye tabia fulani na kuingia eneo jingine kabisa.
Naam, utalii wa ndani ni muhimu ili kujifunza zaidi....okay nmekupata ndo nasikia kuna sehem ni nyasi fupi tuu zinasadifu hali ya kisavana kabisaaaaaaaaaaa
Rekebisha hapo Kwenye Vilele mkuu, ni Shira sio AshiraMlima Kilimanjaro ni miongoni mwa milima yenye vilele virefu zaidi Duniani. Mlima huu una sifa nyingi zinazoutofautisha na milima mingine, sifa hizo ni pamoja na;
1.Ni miongoni mwa milima saba enye vilele virefu zaidi Duniani. Lakini pamoja na kuwa hivyo bado ni mlima rahisi kupandwa ukilinganisha na milima mingine kwa sababu hauhitaji utaalamu mwingi wala vifaa vingi vya kisasa kama kamba, shoka la kujishikiza kwenye barafu n.k. Inawekewa kwenye kundi la milima ya kupanda kwa kutembea.
2. Ni mlima uliojitenga na kusimama wenyewe pasi na safi za milima tofauti kabisa na milima mingine Duniani.
3. Mlima huu upo karibu zaidi na mstari wa Ikweta, Ikweta ni mstari wa kufikikirika wenye nyuzi sifuri unaogawa Dunia katikati katika pande mbili yaani Kaskazini na Kusini.
Mlima huu kulingana na vipimo vya kijiografia upo umbali wa maili mia mbili na tano (205) kutoka ulipo mstari wa Ikweta.
4. Mlima huu una kuni tatu za kivolkano ambazo ni;
(i) Kibo 5895m
(ii) Mawenzi 5149m
(iii) Ashira
Picha murua kabisa hii mwanangu! Unaweza kuipeleka kwenye mashindano ya picha! Huu mlima ndio Mh. Jiwe alikuwa anataka achonge wa kwake kule Burigi ili kuvuta watalii!!😁😁😂😂😍Ngoja tusindikize na picha.View attachment 1764923
Lakini kote huko mkuu Arctic and Antarctic si kuna barafu la kufa mtu?Bandiko zuri sana hili Mkuu.
Badilisha uelekeo wa mabadiliko ya climatic regions.
Tuseme kupanda Mlima Kilimanjaro ni sawa na Kutoka Ikweta hadi Arctic Circle hii itapendeza zaidi ya kutoka Ikweta hadi Antarctic.
Mlima Kilimanjaro ni mzuri sana.
IT IS THE HIGHEST FREE STANDING MOUNTAIN IN THE WORLD.
Ni kweli Mkuu Lakini unaweza kwenda Antarctic bila kukatiza Jangwa.Lakini kote huko mkuu Arctic and Antarctic si kuna barafu la kufa mtu?
Urefu ni mlima wa ngapi? Mbona kuna milima mingine mingi mirefu inayozidi Kilimanjaro?Asante sana
Ni kweli mkuu Kilimanjaro inaweza kuwa kwenye namba 7 kwa urefu.Urefu ni mlima wa ngapi? Mbona kuna milima mingine mingi mirefu inayozidi Kilimanjaro?
Ongezea Marangu ndio route pekee inayo panda na kushuka.pande zote ukiwa unaelekea kwenye mlima unazidi kuvutia yaani BREATH TAKING scenery!!
ukiwa juu utaona taa za kenya.
ruti za kupandia ni.
machame-6 to 7 days descnd route mweka.
lemosho-hii unapandia upande wa west huchukua siku 8-9 sababu unazunguka mlima wote.
umbwe -hii very short route but very steep.very rare watu kupandia huko sababu ina mawe sana na very slippery!
rongai-hii route inapendwa sababu haina population na very easy ndio wazee sana hupenda kuitumia.hii ni 6days climbing.
Marangu-hii ndio route ya mwanzo kuwa established ni njia kongwe zaidi inayojulikana na iko na HUTS hivyo haina haja ya tents for shelter.
Mweka- hii huwa ni ya kushukia tuu(descendin route)pia ni karibu sana kufika top kwa njia hii.ila hairuhusiwi kupanda ila tu kwa wapagazi kwa ajili ya kupeleka supply of food.
ni hayo tuu machache ngoja niendelee kufturu