UPDP: Uzinduzi wa kampeni katika picha

Hawa jamaa hawako serious ki ukweli,,hamna ki2 hapo...
 
Naona kiukwel hawa wanasindikiza vyama vingine na sio kutafuta kuongoza coz chama chenyewe kinadhihirisha wazi nimasikini, inamaana wakipata hiyo nafasi watatumia kwanza kujijenga kiuchumi nasio kuleta maendeleo ya igunga next time kama hamuwezi simuache muondoe usumbufu kwa watu...........!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…