taikuny
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,206
- 718
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 932117
hapa korosho ndo inasindikizwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 932117
hapa korosho ndo inasindikizwa
Hasara kubwaNi furaha kwa wakulima lakin raisi Alisha jiuliza wafanya biashara walilipa magodauni mpaka milioni 100,Alisha jiuliza Kuna kampun za clearing zimewekez mtwara?Alisha jiuliza Kuna shipping line zimewekeza?Alisha jiuliza Kuna hotel za wajasilia Mali wamewekeza wote waliwekeza kuakikisha msimu unaenda sawa Nina anaturipa?
Mimi Kama Mimi ninahasara ya million 8 najrudisha vip?muheshimiwa mamuzi yake yanetutia umasikiniHasara kubwa
Mahara...,,HahahahaYAANI KAMA MKUU (kokoto) HUWA ANAPITIA HAPA NADHANI NDIPO MAHARA PEKEE HUWA ANATOLEAGA STRESS.. 😁!!
Nmecheka Sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 932117
hapa korosho ndo inasindikizwa
Baada ya kubangua korosho kwa mabomuView attachment 932429
hahahahhahaaaaaKati ya wajeda wanaohusika na kutoa pesa ya kununulia koroshoView attachment 932384
HahahahahahaHuyo pay master ni mwisho wa maneno. Kama hana chenji akikupa noti akwamba urudishe chenji kesho, utalazimika kuzileta leoleo! Huwezi kuvumilia kulala nazo.
hahhahahahahahahaaaBaada ya kubangua korosho kwa mabomuView attachment 932429
hahhahahahahaaView attachment 932117
hapa korosho ndo inasindikizwa
Wana Mtwara na wale wote wa maeneo ya kusini tupeni updates za ujio wa madinga huko Mabarabarani na Maghalani pia
Hali ni shwari...?
Na shughuli zinaendeleaje..?
Kama una picha yoyote sehemu yoyote ulipo, tupia hapa
😂😂😂 nyie watu mnamtafutia shida bwana Maxence melo
Umenikumbusha Kinyambe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahaaaa!! pumbafffuuu thana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]