Updates za ujio wa Ndinga za Majeshi Mkoani Mtwara

Updates za ujio wa Ndinga za Majeshi Mkoani Mtwara

Dah yaweza kuwaletea kumbukizi mbaya ya gesi inatoka au haitoki????
Daah, kweli kabisa mkuu... Maana wamakonde wakiona tu hzo ndinga watajua mambo yamerudi tena
 
Wadanganye wenzio wapige picha gari za jeshi halafu wakione kilichomtoa kanga manyoya!!!
...." wakione kilichomtoa KANGA MANYOYA "...... Mbona manyoya hawa jamaa wanayo???
IMG_20181027_133430.jpeg
 
Jamani mniambie yanaanza safari lini hayo magari, nataka nipige dili walau nipate lifti ya gari moja inibebee vifaa vyangu vya duka, nina majora ya nguo na madumu ya mafuta kuelekea Ntwara
 
🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚🚚
 
Huyo pay master ni mwisho wa maneno. Kama hana chenji akikupa noti akwamba urudishe chenji kesho, utalazimika kuzileta leoleo! Huwezi kuvumilia kulala nazo.
Aha ha haaaaa! Yaani nimecheka sana
 
Back
Top Bottom