Updates za Tanapa

Tembomtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
266
Reaction score
427
Habari wana Jf,

TANAPA walitangaza nafasi za kazi nyingi tu mwezi wa 7. Sijasikia habari yoyote juu ya watu ambao walikuwa shortlisted. Naomba kama kuna mtu ana habari yoyote juu ya nafasi hizo za kazi awasilishe kwa kuniarifu hapa.

Asante.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…